Je, mwanamke kuwa na wanaume wengi kabla ya kuolewa nini sababu? Na akishaolewa anaweza kubadilika na kutulia?

Lakini hii huwa wenyewe wanaipinga Sana mkuu #..
Wapinge, wasipinge, ukweli utabakia kuwa ukweli.

Aliyetuumba sisi Wanadamu (MUNGU) alimwekea mwanamke bikra siyo kwa bahati mbaya bali kwa kusudi maalumu.

Sisi Wakristo maandiko (Biblia) yanatwamhia kuwa Bwana MUNGU amefanya kila kitu kwa kusudi lake. Mithali 16:4
 
Piga kifua mbele wale wote tuliofungua milango wenyewe.
Hakika mkuu. Ukiwa wa kwanza kufungua mlango na hiyo nyumba ukaimiliki wewe kihalali kabisa hilo ni jambo la heshima sana.

Sisi Wakristo tumefundishwa kuwa Mke ni chombo cha heshima. Sasa ukioa Mke ambaye tayari Wanaume wenzako walishamvuaga ch***p, mwanamke huyo anakuwa siyo chombo cha heshima tena.
 
Hapana kukosa pesa na kuwa fit kitandani ni vitu 2 tofauti!
Mfano niliwahi kuishi na jirani yangu alikuwa na mfanyakazi wa kiume ambaye alikuwa anatunza kuku na ng'ombe wa maziwa, mume alikuwa CEO wa kampuni flani na mkwanja mrefu kabisa, lakini kitandani hakuwa fiti hivyo kuna nyakati mkewe alikuwa akiliwa tunda na huyu house boy na mke ndo alikuwa anampa pesa! Hapa ni kwamba mtaji wa jamaa ulikuwa sio pesa ali uwezo wa kupiga show!
Hizo kesi ni chachė sana ukilinganisha na wanaume wasiokuwa na hela, tafta hela ndugu kila goti litapigwa kwako.
 
Back
Top Bottom