Je; Mwanamke Anaweza Kumtongoza Mwanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je; Mwanamke Anaweza Kumtongoza Mwanaume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Feb 13, 2011.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Kumekuwa na mijadala mingi hapa JF ni namna gani akina dada wanaweza kufanikiwa kumpata mwanaume wampendae.

  Kwa mila, jadi na tamaduni zetu si rahisi kumwona Mwanamke akimtongoza Mwanaume.

  Katika dunia hii ya utandawazi, je, Mwanamke anaweza kumtongoza Mwanaume ampendaye? Na kama inawezekana ni vipi anaweza kumuanza na atamtongoza vipi? Au bado haimpasi kutongoza?

  Naomba kuwakilisha.

  Respect.
   
 2. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawake tukiwezeshwa tunaweza kuwatongoza wanaume!!!!!!
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Why Not.., kama yupo attracted kwa muhusika, they get closer, as time goes kila kitu kinakwenda na flow... hakuna ubaya mkuu....

  After all Actions Speaks louder than words....
   
 4. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwanamke akikutaka ni vigumu kumkwepa! Mara nyingi sisi wanaume tunafikiria ndio tunaochagua wenzetu...lkn i think the opposite is true; they always have the final say...!
   
 5. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Duh! Kuna kuwezeshwa hata katika kutongoza? Kivipi?
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yah unamtongoza tu ukimpenda siku hizi sio ishu
   
 7. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Voice of Reason, to help ladies; how can they "get closer" may be this is where the challenge is. Mwanaume kutongoza anaweza kufuatilia hata miezi kadhaa na akakutana na kila aina ya vitimbi na mikasa bila kukata tamaa. Mwanamke anaweza namna gani kupitia hayo?
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanaotongoza wanaume hudumu zaidi katika mapenzi kuliko wanawake waliotongozwa.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uwezekano upo sana tu!Kinachohitajika ni ujasiri tu!
   
 10. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  i've been tongozwad like five times...its kinda funny looking at a girl trying to express herself!
  Lakini its okay....though huwaa wanajistukia sana yale maneno ya ''unanifanyia hivi sababu mi ndo nilkuja kwako kwanza'' huwa mengi....
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wewe I'm watching ur words! Not happy
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Tunaweza. tena ngoja nianze na wewe superman.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wanatutongoza mbona!! Ila wanakuwa kama wanabembeleza na sometimes wanalia kabisa during the process!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Baba mchungaji nawaambia tu.I promise.. no funny bussines!You are my one and only valentine...All day everyday!
   
 15. k

  kisukari JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  inawezekana,lakini kwa upande wangu,siwezi,ila ninaweza nikakuonyesha vijidalili fulani,basi lakini niunyanyue mdomo wangu,uwiiiii siwezi kabisa maybe labda nijiite mshamba
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ulimtongoza?
  Au alijieleza kama anatafuta kuwa mhariri mkuu wa raia mwema?
   
 17. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wengi wao wanatumia body language kutuma ujumbe huku akiwa anasikilizia kama utamsoma au vipi.Wakiona kimya wengine wanajaribu na maneno kidogo japo sio direct lakini anakupa urahisi zaidi wa kusoma ujumbe wake.
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna wengine wamepinda wanaingia front
   
 19. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Superman, mbona wanatongoza kwa kwenda mbele.... kutegemeana mazingira.

  Bush...........nakumbuka akiaanza kukupiga mgomo na kukumbia porini ujue shughuli imeiva
  Town mambo simu ..msgs za maluv kwa sana..., mtego, kukutembelea, zawadi na kauli zenye utata... may be wewe huwezi kitu..... ili useme naweza.

  Ole wako umkatae atanuna mpaka basi. hata salamu hakupi.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  acha kudanganya!
   
Loading...