Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali?

Baba ana umuhimu katika malezi ya mtoto wa kiume hasa katika kumfunza jinsi ya kuwa mwanaume kamili.
Ukosefu wa Baba katika familia utapelekea mtoto wa kiume kuwa kiumbe wa kuongozwa na hisia sana. Kumbuka kuwa watoto wanaidolize wazazi wao, na kama Mama ndiye mlezi mara nyingi mtoto wa kiume atakuwa mtu wa kulia lia (kulalamika) katika mambo ya kufanya maamuzi magumu kama mtoto wa kiume katika siku za usoni (rejea wanaume kuitwa mtoto wa Mama)
Sizungumzi kwa ubaya, Mama ana umuhimu wake mkubwa sana katika malezi lakini Baba ndiyo ana mchango mkubwa kwa mtoto wa kiume kukomaa kiakili kama mwanaume.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom