Mimi nina mke wangu na ananyonyesha mtoto wa miezi 7,lakini kutokana na hali halisi ya kibinadamu tumejikuta tukifanya mapenzi..bila kinga..
Je,anaweza kushika mimba?
Uzi wa mwaka 2011 huu we jamaa.naongea kwa herufi kubwa kuwa jiandae kupata pacha hapooo. Sasa miez 7 yote bado tu hujafanya Mpango? Kikawaida mwsho wa kujiamini ni miez 6 tu. Lakin hata hyo 6 ni hatari pia maana wanawake wanatofautiana sana.