Medicci
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 553
- 915
Ukweli umekuwa uchochezi, watanzania Tunawaogopa wasiojulikana. And the fact hawajawika kwa muda sasa sijui wamebadilisha mkakati.
Yaani watanzania tumekuwa waoga sana.
Hivi Mwalimu angeluwa muoga na mjinga wa hali tuliyonayo tungekuwa wapi.
Tunaadvantage ya social media lakini bado tena huko ndio waoga mwanzo mwisho.
Sijui Mwalimu na harakati zake kama wangekuwa wamebarikiwa hii mitandao ya Kijamii angemafanya makubwa kiasi.
Yaan Kodi ulipe wewe halafu ushindwe kuwa na maamuzi na Mali yako.
Tuache uwoga,
NUKUU
Samwel Sitta.
"* wajukuu zetu watatukana makaburi yetu *"