Je mwaka huu 2021 ulikuwaje kwako kwenye mahusiano?

Hivi hizi laana huwa mnatupatia huwa mnamaanisha au mnatania!!
Ukijaribu kucheza na moyo wa mwenzako tu lazima laana zikupate,
๐ž๐ฆ๐›๐ฎ ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ซ๐ข๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐š๐ฆ๐ฉ๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐š ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ญ๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐›๐š๐ง๐ข ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐ฃ๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐๐ข๐ฒ๐ž ๐ฆ๐ญ๐š๐ซ๐š๐ฃ๐ข๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐จ ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ž๐ง๐ ๐จ๐Ÿ ๐ญ๐ก๐ž ๐๐š๐ฒ ๐š๐ง๐š๐š๐ฆ๐ฎ๐š ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐š๐œ๐ก๐š ๐›๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ฎ ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐š๐ฆ๐›๐ข๐ฐ๐š ๐ฆ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐›๐š ๐ฐ๐š๐ค๐จ ๐ฒ๐ฎ๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐Ÿ๐ฎ๐ซ๐š๐ง๐š ๐š๐ง๐š๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ง๐š๐ฒ๐ž ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ฉ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐ง๐š ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ฐ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฌ๐ก๐ฎ๐ก๐ฎ๐๐ข๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ก๐ข๐ฏ๐ข ๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐š๐ฃ๐ž,
Malipo ni hapa hapa Duniani asikwambie mtu
 
Kuna Dem nilipanga kumuoa mwaka huu kwakua alikuw dar nili plan kumtumia nauli mwezi huu wa 1 ila Toka November witness apatikani kwenye sim number zake zote aziko hewan adi leo nimempgia hapatikani

Naikumbuka sura yake yaupole binti mwenye hekima dimples kwa mbali ..

Am heartbroken ..
 
Wameshaoa wahuni
 
Shughili isha isha ๐Ÿคฃ
Yuko anapika na kupakua uko
 
Niliingizwa kwenye majanga na sijala hata senti, virungu na pingu sasa staki kiwingu.

2022 nadhani itakuwa powah
 
Nilipata mpnz mwishoni mwa mwaka... Akanifanya niache pombe na namshukuru sana kwa hilo.

Ananipenda sana , nataka kujifunza kumpenda pia.
 
Nipo ktk sehemu sahihi ambayo natakiwa kuwepo.
Full burudaan na kuenjoy.
 
Back
Top Bottom