Je, mwaka 2045 Tanzania inaweza kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote Afrika?

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,733
7,611
Ujenzi wa Viwanda unaondelea kwa kasi, Miundo mbinu na uwekezaji kasi katika Elimu na nyanja mbalimbali, hatuna Mpinzani tutaipita South Africa, Nigeria, Egypt, Kenya
Naiona Tanzania kiranja mkuu wa Africa.
 
Kama Bongo movie vile. Jina la movie ni kingereza alafu ndani wameigiza na kuongea kiswahili. Mtoa mada je kuna tofauti hiki ulichokileta na sanaa za bongo? Kweli Tanzania bado tunasafari ndefu
 
Ndio. Mtawapita kwa sababu hawatakuwa wanafanya maendeleo.
They will be dormant for all those years waiting for you to surpass them #smh
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Maskiniii, vijana wamekufa moyo kiasi cha kuona rates kwa nchi yao
 
Ujenzi wa Viwanda unaondelea kwa kasi, Miundo mbinu na uwekezaji kasi katika Elimu na nyanja mbalimbali, hatuna Mpinzani tutaipita South Africa, Nigeria, Egypt, Kenya
Naiona Tanzania kiranja mkuu wa Africa.
labda kwa utekaji.
 
Samahani marekani haijawahi kumweka myahudi ikafanikiwa maana amebarikiwa ila kwa mwl.alijaribu mwisho akashindwa,mwinyi nae akashindwa,kikwete alishindwa, na ndugu pia akashindwa tuu,tazama uongozi was mkapa wamefanya vizuri wakati hazina ya mwinyi haikuwa na kitu ila usihuzunike na samahani kwa nitakayemkwaza
 
Back
Top Bottom