wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,574
Motivational speakers bana.Mgodi mmoja tu unajenga Dar/Tanga-Pemba-Unguja. Tz tuna migodi inayofanyakazi na iliyolala zaidi ya 50.
Motivational speakers bana.Mgodi mmoja tu unajenga Dar/Tanga-Pemba-Unguja. Tz tuna migodi inayofanyakazi na iliyolala zaidi ya 50.
Rome was not built in one day. Siyo kwamba hata Dubai haikushuka toka Mbinguni bali ni zao la mchakato mrefu wa kulaumiana na kukatishana tamaa lakini wakasonga mbele. Ni vivyo hivyo Zanzibar ya Dr. Mwinyi siyo ile ya Sultan Jamshid.Anasa za kijinga hizi. Hilo daraja litarahisisha vipi usafiri kwa kipimo cha kiasi cha nauli, muda na usalama?
Halifai ni mradi wa anasa kwa kuwa Zanzibar haina hadhi ya Dubai
Ni upi mfanano wa Mfereji wa Suez na hilo daraja unalo-propose?1. Miundombinu ya kurahisisha usafirishaji kwa bei nafuu kuliko anga na majini.
2. Kivutio cha utalii kwa Waafrika ambao ni 1.2 bl 16% ya watu wa dunia.
3. Mafunzo na utafiti kwa wataalam wa ndani na nje wakati wa kulimaintain.
4. Kuingiza fedha serikalini kupitia tozo za watumiaji.
5. Kuchochea ukuaji wa uchumi wa bluu.
6. Suez Canal ni ya pili kwa kuingizia Misri fedha mbali na Mapiramidi.
Badala ya kuwapa Wachina Bagamoyo tuwape hii wajenge kwa kanuni ile ya BOT (Build, Operate, Transfer) (Jenga, Endesha, Kabidhi serikali baada ya kurudisha mtaji na faida yako).
Tatizo mliaminishwa kuna utajiri mkubwa sana kwenye migodi...Mgodi mmoja tu unajenga Dar/Tanga-Pemba-Unguja. Tz tuna migodi inayofanyakazi na iliyolala zaidi ya 50.
CCM kuna watu wa hovyo sana, wabinafsi na wachumia tumbo tu.Ujenge daraja kufuata watu laki 8!!!? hu si uchizi?
Si Bora ukaenda kulijenga ziwa Tanganyika kwenda Congo?
kwenye popolulation ya watu milion 100+
Ndio maana nawaambia hi serikali haina washauri ni ujinga ujinga tu!!
Leo kwenda Congo tunapita Zambia wakati tunaweza Jenga daraja pale tena kwa ushirikiano tukawa tunailisha Congo bila kupitia Zambia na Burundi na Rwanda !!
Safi sana Congo imekaa vyemaUjenge daraja kufuata watu laki 8!!!? hu si uchizi?
Si Bora ukaenda kulijenga ziwa Tanganyika kwenda Congo?
kwenye popolulation ya watu milion 100+
Ndio maana nawaambia hi serikali haina washauri ni ujinga ujinga tu!!
Leo kwenda Congo tunapita Zambia wakati tunaweza Jenga daraja pale tena kwa ushirikiano tukawa tunailisha Congo bila kupitia Zambia na Burundi na Rwanda !!
Tutasifiwa sanaNasikia wataalamu wa Japan walisema itatugharimu bajeti ya nchi ya miaka 20 kujenga daraja hilo! Faida zake ni nini labda.
Msoga gang king aliwapa wachina kila kitu baada ya kulamba cha juuHiyo migodi yote pamoja na Gas sio mali yetu. Tusingekimbizana na Tozo.
Well said, 👉 "2025 baba lazima achague kimoja kati ya mke au watoto"Ujenge daraja kufuata watu laki 8!!!? hu si uchizi?
Si Bora ukaenda kulijenga ziwa Tanganyika kwenda Congo?
kwenye popolulation ya watu milion 100+
Ndio maana nawaambia hi serikali haina washauri ni ujinga ujinga tu!!
Leo kwenda Congo tunapita Zambia wakati tunaweza Jenga daraja pale tena kwa ushirikiano tukawa tunailisha Congo bila kupitia Zambia na Burundi na Rwanda !!
function init() {Well said, 👉 "2025 baba lazima achague kimoja kati ya mke au watoto"
Acha uongo wako wewe...Msoga gang king aliwapa wachina kila kitu baada ya kulamba cha juu
Sasa msikimbizane na tozo kwani gas imeshaanzwa kuchimbwa?Hiyo migodi yote pamoja na Gas sio mali yetu. Tusingekimbizana na Tozo.
Na ukitaka kujenga darajakwa gharama za "chini" , itabidi utokee Bagamoyo badala ay Dar es salaam lakini kwa sasa haliwezi kuwa na tija. Niliwa kusoma kuhusu daraja moja hivi lililopo China, ambalo na lenyewe ni sea bridge na urefu wake unafanana kwa kiasi fulani na umbali kutoka B/moyo hadi ZNZ!Kuna kipindi nilikuwa nimejipumzisha pale Bagamoyo Beach, nikakiona nadhani kisiwa cha Nungwi, nadhani kuanzia pale hadi Unguja Daraja linawezekana ila litakuwa ghali ghali kweli kweli.
Mojawapo ya faida ya daraja hili ni kuimarisha muungano wa Znz na Tanganyika. Moja ya vitu vilivyoimarisha muungano wa USSR ni ujenzi wa miundombinu ya reli ndefu duniani (9,288.2km) ya Trans Siberian Line toka Mashariki hadi Magharibi ya USSR (Moscow hadi Vladivostok) na kuifanya USSR kuwa Superpower duniani miongoni mwa sababu zingine kama kuwa na gesi nyingi, aina ya siasa na sayansi na teknolojia nk. Tz itakuwa Superpower EAC, GRL, Afrika SSH akijenga daraja hili kwa sababu itaendelea kupaisha nguvu ya kiuchumi ya Tz kwa kuwa na consumer market share/power kubwa kwenye kanda hizo kutokana na muungano ambao unafanya tuwe na idadi kubwa ya walaji na soko la ndani.Mama tuvushe kwenye daraja tarajiwa la Muungano 2030-2035.
Hizo ni kauli tunazoambiwa na wanasiasa wanaofadika na huo uwekazaji, ili raia wasahu kwamba kunakitu kinaitwa madini. Mzungu aingie gharama ya exploration, asimike mitambo na majengo ya mabilioni ya Dola halafu pasiwe na faida, mabepari hawana taibia hiyo.Sasa msikimbizane na tozo kwani gas imeshaanzwa kuchimbwa?
Huko migodini, watu wana-overate sana utajiri wa madini kwa sababu wanachoangalia wao ni bei kubwa ya madini lakni wanasahau upatikanaji wake ni haba, ni unit production cost ni kubwa!!
Wapi nimesema hakuna faida ndugu?Hizo ni kauli tunazoambiwa na wanasiasa wanaofadika na huo uwekazaji, ili raia wasahu kwamba kunakitu kinaitwa madini. Mzungu aingie gharama ya exploration, asimike mitambo na majengo ya mabilioni ya Dola halafu pasiwe na faida, mabepari hawana taibia hiyo.
Sio lazima uandike neno faida, ukichambua ulivyoandika maana yake faida yake itapatikana baadae sana au faida ni ndogo sana kiasi kwamba tusiitegemee kuendesha nchi, kumbuka kuna migodi inamiaka zaidi ya 30. Kama upatikanaji ni wahaba wangeshaondoka tukabaki na wachimbaji wadogo maana gharama za uendeshaji ni kubwa na wasingekubali kupata hasara. Uliposema Unit production cost ni kubwa ulimaanisha ni nini na inaathari gani kwenye soko?Wapi nimesema hakuna faida ndugu?
Mbona leo nakutana sana na watu wanaosoma kwa pupa na matokeo yake kushindwa kuelewa?!
Nani atagharamia ujenzi wake?Rome was not built in one day. Siyo kwamba hata Dubai haikushuka toka Mbinguni bali ni zao la mchakato mrefu wa kulaumiana na kukatishana tamaa lakini wakasonga mbele. Ni vivyo hivyo Zanzibar ya Dr. Mwinyi siyo ile ya Sultan Jamshid.