Je! Mungu ni yule yule?

Mkuu.. Kiranga sio mpagani kwasababu ukisema huyu ni mpagani ina maana huyo mtu ana imani ya dini ya KIPAGANI.

UPAGANI sio kutokuwa na imani ya dini ila ni dini na ina misingi yake na miungu yao pia ipo wanayo amini na kuiabudu.
 
"To the one who has faith, no more explanation is needed, to the one who has no faith even in more explanation can not understand "-St. Thomas Aquinas.
 
binafsi mimi ni Muslim ..lakini nasema dhahiri kabisaaa Mungu wa hivi vitabu vyetu hivi anamushkeri kwakweli anapaswa kutazamwa kwa jicho LA 3 ...kuna maswali mengi mnooo ukianza kuyauliza kam uko timamu huwezi kupatiwa majibu yake
siku tukiacha udini tukajikita kwenye hoja kama hivi, dunia itakuwa mahali salama pa kuishi. safi sana!
 
Kwahiyo umeona hiyo ni hoja?
Swali lake si baya ... maana jina la mtu fulani lapaswa kusomeka vilevile lilivyo ili si tu kuleta maana halisi bali pia kuepuka "contradiction" pale linapokosewa ... That's my opinion, you may buy it or not ..
 
Swali lake si baya ... maana jina la mtu fulani lapaswa kusomeka vilevile lilivyo ili si tu kuleta maana halisi bali pia kuepuka "contradiction" pale linapokosewa ... That's my opinion, you may buy it or not ..
NOT
 
Hahahahah mkuu ni kweli mkabisa ,huwezi pita majukwaa yanayojitambua hapa JF ukashindwa kumsikia Kiranga kabisa
Kiongozi kubali kuwa mkono uliteleza kwa kuandika "Karanga" badala ya "Kiranga" kule ktk original thread yako .. mambo (hoja) mengine yako poa ..
 
hahaa utaskia wewe amini tu yupo "" kwani huoni vitu kama peni ..magari .nyumba etc uwepo wa hvyo vitu unabainisha kuwa kuna aliyeviweka ambaye ni binaadamu "" kwa hiyo na uwepo wetu wa binaadamu hapa duniani kuna ambaye amehusika kutuweka......anatokea kiranga anajibu KWAHOJA YAKO HIYO INAMAANA UNADHIHIRISHA WAZI KUWA HUYO ALYEKUWEKA NAYE KUNA AMBAYE ALIMUWEKA .....!!!!
??

HAHAAA mwisho wa siku wanaomuamini MUNGU wanaishia kula chochoro ...kiranga acha kabisaaa yule mtu
Purely SATANISM
 
Tunaporuhusu bongo zetu zitawaliwe na kutaka majibu na ithibati za kidunia kwenye ulimwengu wa roho ndio hapo mkanganyiko unapoanza....
Jambo lolote la kiroho halina ithibati za kisayansi hivyo mtu anapokukazania umthibitishie uwepo wa Mungu nawe ukaanza kubabaika jua umekwisha... Atacheza nawe atakavyo kwakuwa tayari ameshakutega nawe ukategeka
Hapo nimekupa TANO ... big up
 
Back
Top Bottom