Jenga hoja kijana, wacha ujinga!"IPP" International pumba point.
Habari za asubuhi wana JF,
Kama nilivyouliza hapo juu, ili tupeane mawazo.kama tukisoma kwenye kitabu cha Agano la kale, baada ya Mungu kuwaonya binadamu na wakawa shingo ngumu, na kuamua kuachia gharika, aliwasiliana na Nuhu ambaye ndie alikua mtii kwake, na kumpa majukumu ya kutengeneza safina ili aokoke yeye familia yake pamoja na wanyama na ndege na vitu vingine alivyomuelekeza kuchukua pamoja nae. Tukitazama tuona kwa jinsi ya vitu alivyoagizwa kuvichikua, tunaona ni vingi, na kwa hiyo pia tunaona jinsi Mungu alivyo kua anamuelekeza jinsi ya kutengeneza safina kwa vipimo elekezi, kwa urefu, kwa upana kwa kimo kwa kugawa vyumba n.k
Yaani kila alichokitengeneza katika safina kilikua na lengo lake na kipimo chake .
Kwa jinsi hili linavyoshabihiana na kazi wanazofanya ktk uinjinia zama hizi, Je ,nisahihi kusema Mungu ndie aliyemfundisha Binadamu kazi ya uinjinia ? Na injinia wa Kwanza Duniani ni Nuhu...?
Asanteni na siku njema......
Mimi nilihitaji waamini biblia ili tuelekezane, sasa kama wewe huiamini tutaongea nini ? Ukizingatia thread yenyewe imetoka kwenye biblia ?God has never met anybody!
No proof of such meeting ever taken place!
Noah arc story is bullshit!
No scientific proof of such volume of water ever taken place 3000 years ago,
Labda there was scientific proof of ice age milions of years ago na kulikua hakuna binadamu duniani!
Boti yenyewe scientifically can not be made,its nonsense!
The dimensions na jinsi ya kujenga ilivyoelezewa kwenye biblia ni utumbo na stori ambayo science can never be part of by any means whatsoever!
All those are lies and impossible things to happen scientifically!
Mimi nilihitaji waamini biblia ili tuelekezane, sasa kama wewe huiamini tutaongea nini ? Ukizingatia thread yenyewe imetoka kwenye biblia ?
O.k, hebu tuyaache yangu kwa muda, wewe unafikiri asili ya universe ni nini ?Utaaminije kitu kinasema uongo wa mchana peupe?
Eti mikono kadhaa kaskazi na miguu kadhaa kusi,mbao vipande kenda,then ujenge boti yenye kubeba species zote duniani!
Those jewish old men where liers beyond anybody!
Biologically tukienda kwenye species,a human being can never be able to collect even now na teknlojia zote zilizopo!
Ndio uzungumzie tech ya miaka 3000 iliyopita?
Ptuuuu
O.k, hebu tuyaache yangu kwa muda, wewe unafikiri asili ya universe ni nini ?
Kwanini wanasayansi wengi ni wazunguHakumfundisha bali alimpa akili yenye maarifa yasiyo na ukomo... Hii sayansi inayompinga Mungu leo hii ni kazi ya mikono yake kupitia akili ya uumbaji wake
Hivi kwanini swali hili limekua kimbilio la wengi wenu humu??O.k, hebu tuyaache yangu kwa muda, wewe unafikiri asili ya universe ni nini ?
Uchunguzi wa ki vipi labda,kama sio sayansi ?Hakuna ajuaye kwa uhakika 100% imetokea wapi!
Mimi binafsi sijui naendelea kuchunguza na pia nawaangalia binadamu wenzangu wanaochunguza watapata nini hasa!
Theory ya wenye dini sio toshelezi na pia theory ya ambao hatuna dini haitoshelezi!
Hivyo ni swali mwanadamu anaendelea kulitafutia jibu!
Na mimi ni hivyo hivyo,sina jibu toshelezi,for now!
Swali lenyewe linatokana na upeo mdogo wa mawazo, tunauliza kama mtu kipofu anayejua sauti tu, hajui rangi, sasa anataka kujua rangi nyekundu ikoje, halafu anauliza"hivi mlio wa rangi nyekundu ukoje?".Hivi kwanini swali hili limekua kimbilio la wengi wenu humu??
Jamaa,kaingilia kati thread na kuanza kuni crash kwa kila comment, ndipo nikamuuliza hivyo.matokeo yake kaniambia maandishi ya biblia ni uongo, na sayansi ni uongo, na yeye bado hajui bado yupo kwenye utafiti wake, huku akiangalia na wenzake..Hivi kwanini swali hili limekua kimbilio la wengi wenu humu??
Uchunguzi wa ki vipi labda,kama sio sayansi ?
Ni kweli mkuu, ila niliongelea wa Kwanza kabisa kufundishwa, na je ndipo uinjinia Ulipoanzia ? Je, ni sahihi kusema Nuhu ndie injinia wa Kwanza ulimwenguni ?
Do you know what science means, or about the law of nature means, please help me, may be i've got my knowledge astray somewhere..?So far ni science ndio possibly tunaweza fanya uchunguzi na kujaribu kujifunza what really occured!
So far mwanadamu ana study of science!
Hakuna kingine!
Labda kingine ndio hizo zenu za kufikiria some illusions with no tangible evidences!