Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

Naisi jua (sun) ndo get la sisi binadamu kuingia kwa Mungu and naisi it kitu ambacho kimekuja kublock physical human kuweza kumeet with our creator (GOD ) ndo maana unaambiwa mbingunu kumejaa dhahabu na nguo za malaika zina meta meta....

Kama mnaonaga picha nyingi za yesu unakuta usoni kwake kuna kitu kama miale ya mwanga ni kwa nini?

Unaambiwa jua aliwaki moto noo izo ni inagination zetu kwa kuimagine jua linatokota kama uji wa volcan but ata NASA waliliongelea wakasema kua kadri unavyo lisogelea jua ni kama mwanga wa njano unao toa harmful radiant ili usiweze kua near zaidi and izo radiants ziko powerful kiasi kwamba amna dini sayari hii ambalo linaweza sogelea bila kumumunyuka....

Kwenye jua ndo kunapo ishi our creator and ndo maana jua ni chakula kizuri sana kwaa ajili ya mwili kukua na kuupa ubongo chakula chake
 
Who is Lilyth??
Somo
tapatalk_1576577732849.jpeg
 
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.

Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?

Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.

El perdode
Sahau mambo yote uliyoambia kuhusu siku za uumbaji hii ni kutokana na nadharia kwamba kipind Mungu anaumba dunia mwez na jua havikuwepo sasa utasemaje kulikuwa na siku ilihali mwez na jua havikuwepo fikiria kwa makin
Kabla ya uumbaji hapakuwa na siku mwaka wala tarehe
 
Mungu anasema miaka 1000 kwake ni siku1, miaka 6000 ni siku 6 ya saba akapumzika
 
Nini kimeifanya Dunia isibadilike?

Kubadilika nilikokuongelea ni kubadilika kwa umbo la ulimwengu katika kila nyakati ya uumbaji wake, ulimwengu ulibadilika katika umbo (formation) katika kila nyakati katika kipindi cha hizo nyakati sita (siku sita).

Labda nielezee kwa ufupi jambo hili:-

Ulimwengu ni mkusanyiko wa Galaxes nyingi sana zilizoko kwenye Space na katika hizo Galaxes kuna mifumo mingi ya Jua (Soar systems)

Galax ambamo Solar system yetu imo inaitwa "Milky way", nyota zote tunazoziona usiku ni majua ya solar systems zingine zilizoko kwenye Galax ya milky way, kwa maneno mengine Jua letu na hizo nyota (majua) ni ndugu wa familia moja ya Milky way.

Mungu alipanga mabadiliko ya uumbaji wa ulimwengu yakome pale ambapo lengo la uumbaji wa ulimwengu (dunia) linapotimia, lengo la Mungu kuumba dunia ni binadamu aishi ndanimo ili amuabudu Yeye, Binadamu tumeisha umbwa na tunafanya ibada sasa ulimwengu au dunia kwa minajili hii ibadilike ili iweje???, inawezekana mabadiliko yakatokea ila mabadiliko hayo ni mabadiliko ya tabia nchi ambayo chanzo chake ni matokeo ya kazi za binadamu (human activities) na sio kazi za Mungu, mfano Green house effect kutokana na green house gases za viwandani zinayosababisha Global warming inayoyeyusha barafu inayofanya maji kujaa baharini na baadhi ya visiwa kumezwa na maji ya bahari, mafuriko, ukame, pia deforestation inayosababisha majangwa, ukame nk, hivyo mabadiliko haya hajafanywa na Mungu bali binadamu na hivyo hatuwezi kusema haya ni mabadiliko ya uumbaji kwani lengo la uumbaji limekamilika kilichobaki ni kifo cha ulimwengu wote kupitia Black hole na baadaye Mungu kurejea tena uumbaji mpya new Big bang.

Ulimwengu huu bado unaendelea kutanuka kutokana na ile Big bang, baadaye utasimama kutanuka na utarudi nyuma uta collapse ndani ya Black hole na kutoka ndani ya hiyo black hole ataanza/utaumbwa ulimwengu mpya kama jinsi huu ulimwengu ulivyoumbwa kwa nyakati sita za mabadiliko.
 
Duuh ulimwengu utamezwa lini na BLACK HOLE? Na wataalamu wanasema jua likizima itachukua miaka milioni 50 tuweze kuona effect yake,Je tuna uhakika kwamba jua lishazima?
 
Hiyo hakuna anayejua ni lini ulimwengu utamezwa, lakini kwa Mujibu wa Qur'an ikiungwa mkono na nadharia za Wanasayansi ni kwamba ulimwengu bado unatanuka na itafika muda utasimama kutanuka na utarudi nyuma kule ulipotokea na utajikusanya katika lundo lilelile la mwanzo hilo lundo ndilo linaitwa kisayansi "BLACK HOLE", kwa kiswahili ni shimo jeusi au "kaburi la ulimwengu"---- limeitwa Black hole kwasababu katika hilo shimo kuna nguvu kubwa mno ("COLLOSAL FORCE") ya uvutano, yaani kila kitu kitavutwa humo hadi nuru "(light)" itavutiwa humo baada ya kila kitu kujaa humo ndipo utatokea mlipuko mkubwa "big bang" kama ule wa awali uliotokea katika kuumba huu ulimwengu wetu, uumbaji wa aina hiyo utakuwa ukitokea periodically hadi pale Mungu atakapo amua ausitishe au vyovyote ajuavyo, Yeye ndiye ajuaye.

Kuhusu kuzimika kwa jua, ni kwamba kutoka kwenye jua hadi duniani ni takriban kilometa 142,000,000, kasi ya nuru kutoka Juani kuja Duniani ni Dakika 4, sasa kama jua litazima muda huu baasi nuru yake itakoma kufika duniani baada ya dakika 4 na baada ya hapo dunia yote itakuwa kiza totoro na hali hiyo ikiendelea ndiyo itakuwa mwanzo wa umwisho wa maisha ya viumbe hai vyote duniani.
 
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.

Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?

Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.

El perdode

Kuna wachungaji wanasema wamezungumza na Mungu na kawaambia hiki na kile. Miaka 3000 iliyopita walikuwepo pia. Na wengine ndio walioandika vitabu vya dini unavyotumia. Hivyo sio kila kitu ni neno la Mungu.
 
post yako niliyoiquote inaonesha wewe sio intelligent
mimi ni intelligent aisee,

hebu usinishushie cheo changu,

pia nikukumbushe;

unapotaka kuzungumzia habar za Mungu na uumbaji wa ulimwengu+dunia,

utambue ya kwamba GIZA na NURU ni viumbe.

inaweza kukurahisishia kupata majibu ya swali alilouliza mtoa hoja.
 
Dah bwana sasa labda nikusanue labda hujui....Kwa ile post yako namba 241 umeonesha wewe sio intelligent hata kwa mbaaali...inaoekana unadhani dunia/watu wameanza kuwepo miaka 2000 iliyopita
wakati miaka 2300 iliyopota bwana Archimedes alikuwa anazurula mitaa ya ugiriki anatengeneza Archimedes principle.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Kuna wachungaji wanasema wamezungumza na Mungu na kawaambia hiki na kile. Miaka 3000 iliyopita walikuwepo pia. Na wengine ndio walioandika vitabu vya dini unavyotumia. Hivyo sio kila kitu ni neno la Mungu.
Mkuu leta hilo neno la Mungu sahihi
 
Naisi jua (sun) ndo get la sisi binadamu kuingia kwa Mungu and naisi it kitu ambacho kimekuja kublock physical human kuweza kumeet with our creator (GOD ) ndo maana unaambiwa mbingunu kumejaa dhahabu na nguo za malaika zina meta meta....

Kama mnaonaga picha nyingi za yesu unakuta usoni kwake kuna kitu kama miale ya mwanga ni kwa nini?

Unaambiwa jua aliwaki moto noo izo ni inagination zetu kwa kuimagine jua linatokota kama uji wa volcan but ata NASA waliliongelea wakasema kua kadri unavyo lisogelea jua ni kama mwanga wa njano unao toa harmful radiant ili usiweze kua near zaidi and izo radiants ziko powerful kiasi kwamba amna dini sayari hii ambalo linaweza sogelea bila kumumunyuka....

Kwenye jua ndo kunapo ishi our creator and ndo maana jua ni chakula kizuri sana kwaa ajili ya mwili kukua na kuupa ubongo chakula chake
Nani kasema mbinguni kumejaa dhahabu na nguo za malaika zina melemeta?

Hizo picha ya Yesu uliionea wapi?
 
Kinacho nishangaza tena Bible haiongelei anga za mbali Sana imebazi humu humu
 
Back
Top Bottom