Je, Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuacha kazi kwa notisi ya miezi mitatu?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,820
2,755
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu?

Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
 
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu?

Je anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?

Hongera kwa kufanya uamuzi mgumu wenye manufaa makubwa mbele bila shaka utakuwa umejipanga au umepata kazi Nzuri zaidi.
 
Siyo miezi 3 lakini hata ndani ya saa 24 lakini utawalipa mshahara wao wa mwezi mmoja.

Ila ukitoa notice ya muda wa kutosha hutawalipa mshahara wao.
 
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu?

Je anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
Watumishi mmekuwa tatizo na nyie kila kukicha mara posho, mara kupandishwa cheo na vingine hii nchi ni yetu sote serikali haipo kuwaangalia nyie tu, mmekuwa kama watoto wa mwisho kuzaliwa mnavodeka.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Siyo miezi 3 lakini hata ndani ya saa 24 lakini utawalipa mshahara wao wa mwezi mmoja.

Ila ukitoa notice ya muda wa kutosha hutawalipa mshahara wao.
Je kama una mkopo Bank? Na unataka kuacha kazi kwa Utaratibu huu
 
Smart911

unaweza kunipa sample ya barua ya kuacha kazi inavyotakiwa kuandikwa?

unawataja watu wangapi?

kama ni mwalimu unawataja watu gani katika barua kama "k.k"!?
 
Back
Top Bottom