Je, Mtumishi wa Umma akijiuzulu kwa kufuata taratibu anaweza kurudi tena kwenye utumishi wa Umma baada ya kujiendeleza kielimu?

LITA2019

JF-Expert Member
Dec 18, 2019
388
1,000
Niliajiriwa mwaka 2013 kama mwalimu wa sekondari, mnamo 2015 nliacha kazi kwa kufuata taratibu na kwenda kufanya shahada ya pili katika eneo lingine ambapo kimsingi nisingeweza kupata ruhusa kwa mwajiri mana ni kada tofauti. Nilihitimu mwaka 2016 na mpaka sasa nafanya kazi katika taasis binafsi.

Sasa nataka kuomba kazi kwenye taasisi ya serikali ambayo inafanana na sifa zangu za Shahada ya pili, je naweza kuomba na kukubaliwa mana nimesikia huwezi kuomba tena serikalini kama uliacha kazi, lakini nimesoma sifa za jumla za muombaji wa ajira serikalini, mojawapo ni awe hajastaafu/kustaafishwa, sio kujiuzulu!

Naomba ufafanunuzi kwa wazoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
523
1,000
mzee kwanza kabisa ulifuata taratibu zipi? taratibu ni kuomba ruhusa ya bila malipo kwa katibu mkuu kiongozi, ukiacha kazi kwa lufuata taratibu za wakurugenzi tu umeumia hautaweza tena kuajiliwa serikali za mitaa na serikali kuu sababu ulishakua na cheki namba labda mpaka kibali cha katibu mkuu kiongozi

ulichotakiwa kufanya ungeomba ruhusa ya bila malipo mkuu
 
Noted mkuu, ni kweli niliacha kazi kwa notisi nikalipa mshahara mmoja na kwenda masomoni! Ahsante mkuu kwa mwogozo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Page 94

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,446
2,000
Mkuu vitu vingine usisubiri ujihakikishie. Omba alafu wao wakukatae ama kukubali.
 
LITA2019

JF-Expert Member
Dec 18, 2019
388
1,000
Mkuu vitu vingine usisubiri ujihakikishie. Omba alafu wao wakukatae ama kukubali.
Walichotangaza ni ishu ambazo zina watu wachache na kazi imekua re-advertised, ndio maana nikauliza nitoke private nirudi serikalini, ila kama complications kama mimeua mtu basi ipite tu. Nashukuru kwa ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
523
1,000
Noted mkuu, ni kweli niliacha kazi kwa notisi nikalipa mshahara mmoja na kwenda masomoni! Ahsante mkuu kwa mwogozo!

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu ila taasisi zingne zinazojilipa mshahara unaweza ajiriwa mfano taasisi za vyuo vikuu au vyuo vilivyo chini ya nacte, ewura, tanroad, temesa, tasac, tra, tanapa izo mshahara wake haupitii hazina na wala hawana cheki namba za hazina

wewe hautaajiliwa serikali za mitaa na serikali kuu kama wizara mbali mbali
 
LITA2019

JF-Expert Member
Dec 18, 2019
388
1,000
sawa mkuu ila taasisi zingne zinazojilipa mshahara unaweza ajiriwa mfano taasisi za vyuo vikuu au vyuo vilivyo chini ya nacte, ewura, tanroad, temesa, tasac, tra, tanapa izo mshahara wake haupitii hazina na wala hawana cheki namba za hazina

wewe hautaajiliwa serikali za mitaa na serikali kuu kama wizara mbali mbali
Ni taasisi moja ya elimu ya juu, ngoja niwaangushie magamba mkuu watajua wenyew, after all, is just an optional imekua sawa isipokuja maisha yanaendelea! Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi wako. Jamii forums, the hub of everything!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katomlb

Member
Apr 9, 2021
41
125
nijuavyo ndugu ni kwamba kwa tanzania hawaajili masters ila inakupa nafasi ya kupanda cheo kama ulisoma shahada ya pili ukimaanisha masters utaajiliwa kwa shahada ile ya kwanza na utaajiliwa kwa shahada ya pili kama uliisoma kama shahada ya kwanza, kuhusu kuajiliwa kwa serikal sahau labda konekishen au binafsi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom