The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Habarini wadau wote!
Wadau hivi kuna kanuni inayomzuia mtumishi kuangalia kilichomo kwenye file lake katika masjala ya idara anayofanyia kazi.
Kama hiyo kanuni ipo ina sababu gani ya kuzuia mhusika kuona kilichomo ndani?
Nimeuliza kwani kuna idara nyingi ndani kwenye halmashauri zinazomzuia mtumishi kuona kilichomo kwenye file la mtumishi hasa wa serikali