Je, mtu anaweza kuomba kurejea kazini kama alifukuzwa kwa utoro miaka mitano iliyopita?

CAGvsSPEAKER

JF-Expert Member
May 16, 2019
1,340
5,048
Wakuu,

Kuna mtu kaniuliza hilo swali. Alikuwa mwalimu,akaondoka kazini bila taarifa,baadae akapokea barua ya kufukuzwa kazi kwa utoro. Je,anaweza kurejea kazini tena?

Kisheria na ki utaratibu imekaaje hii?
 
not to that extent bana. Mi nimetegemea wataalam wa sheria hapa. Mbaya ni kuacha kumtegemea Mungu na kumtegemea mwanadamu kwa kiwango cha kumuabudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome kanuni za utumishi wa umma...halafu why always its all about teachers..mna nini nyie watu..kila siku kulalamika na kulialia no wonder hata serikali imewapuuza...kwanza ndio mnaongoza kuwa na kadi za chama na kujikombakomba...poor you.

#MaendeleoHayanaChama

aisee unajua wapo wengi sana humu. Usiwasagie kunguni kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende TSC wana-arrangement za watu wa kundi hili. Anakuwa re-engenged baada ya taratibu kadhaa kufanyika.
NB: TSC = Teachers Services Commission.
 
Back
Top Bottom