Je mtu aliyesoma BSc. in Municipal and Industrial Engineering anaweza kuchukua masters ya Civil?

Habari wakuu?

Napenda sana kazi constructions, lakini nilipangiwa kusomea Bsc in Municipal and Industrial Services Eng.

Je nikimaliza iwapo ntataka kujiendeleza ntaweza kusomea maswala ya Construction au Civil nikimaanisha kozi yoyote ya civil mfano Structure Engineering.., Construction Management au yoyote itakayoniingiza kwenye soko la Construction.

Naomba wajuzi wa mambo mnishauri.
Habari kaka,ukiwa na Bachelor of Science in Municipal and Industrial Services Engineering una sifa za kusoma Direct Masters Degree in Civil Engineering whether its Master of Science (MSc) or Master of Engineering (MEng)..Municipal Engineering ni Branch of Civil Engineering but imespecialize zaidi ktk Utility Services za Manispaa kama vile Water Supply,Water Treatment, Waste Water Treatment, Sewerage and Drainage, Floods and Disaster Management, Solid Waste Management,Building Services e.t.c
Hiyo part ya Industrial Services Engineering inadeal hasa na Utility Services zote zinazosupport Operations and Sustainability ya Viwanda.Actually ts good Degree Course go for it,ina fursa pana zaid ktk ajira..Soma ukiwa na amani.
Eng Yohana Mlaguzi
 
Habari wakuu?

Napenda sana kazi constructions, lakini nilipangiwa kusomea Bsc in Municipal and Industrial Services Eng.

Je nikimaliza iwapo ntataka kujiendeleza ntaweza kusomea maswala ya Construction au Civil nikimaanisha kozi yoyote ya civil mfano Structure Engineering.., Construction Management au yoyote itakayoniingiza kwenye soko la Construction.

Naomba wajuzi wa mambo mnishauri.
Mkuu ulifanikiwa kumaliza BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING

Nina ndugu yangu ameapata hii kozi nipe muongozo wako
 
Back
Top Bottom