Je, mtu akisoma Astashahada kisha akaenda kusoma Shahada anaweza kupata mkopo?

dranx

Senior Member
Dec 31, 2018
190
84
Habari zenu wadau

Natumaini wote mu wazima. Kama kichwa kinavyosema hapo juu Je mtu aliye anzia certificate akifika degree anaweza kupata mkopo kweli.

Nawasilisha mada mezani wadau...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitavyomruhusu kuingia chuo kikuu, GPA ya maana na aina ya course atazosomea hivyo tu.
 
Kwenye Kutoa Mkopo Kuna Course Ambazo Zinapewa Priority Kubwa Mfano, BSED, M.D, Eng, Kukosa Ni Ajabu Hata Kama Umeanza Cert,
Pia Course Law, H.R N.K Kupata Loan Ni Issue,
Diploma Kupata Mkopo Ni Ngumu Kidogo Wanahisi Wanaweza Kufanya Kazi Then Wakajilipia Ada,
 
Mbona wapo wengi tu ambao wamesoma diploma na wameweza kupata mikopo? Kubwa usichelewe Kuunga degree baada ya kumaliza hiyo diploma
 
Back
Top Bottom