Je, mtu akidiscontinue, kwa Course za Afya anaruhusiwa kuomba tena?

Jun 17, 2020
1
0
Samahani jamani kuna ndugu ang, kafelishwa na mwalimu fulani, alikuwa anasoma clinical medicine, ndo kwanza alikuwa semister ya kwanza, je anaruhusiwa kuomba tena?
 
Ngoja kwanza, kwanini afelishwe yeye tu na sio wengine!? Una ushahidi km amefelishwa!? Km ndiyo wasiliana na VC wa chuo au TAKUKURU wakusaidie aendelee na chuo.
 
huyo ni kilaza na alifuata mapenzi chuo huyo.

kaa nae vizuri muongee utagundua hili mkuu na utakuja hapa jukwani kunishukuru.

maana usipofanya hivyo ataanza upya then atadisco tena....mtakuwa kama mnacheza butua.

brother nacte hakuna kufelishwa kule ni kama necta tu....kuanzia mitihani ya ndani mnaratibiwa na watu wa wizara........if there is any deceitful.
 
Back
Top Bottom