je mti huu unapaikana Tanzania? Mbao zake ni zinauzika sana Asia

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,251
6,450
habari za kunyumba wakuu! kuna jamaa yangu anafanya biashara ya mbao, huwa anasafirisha nchi za Asia, hasa India ameniambia kuna mti unaitwa Hollong tree( scientific name Dipterocarpus macrocarpus) au jina lingine pincode tree, ndio unaongoza kuwa imported huko India na huuzwa dola 18 mpaka 19 kwa qubic futi moja. ukiangalia taariafa zake inapatikana sana Asia hasa Myanmar na Malaysia lakini hatuwezi jua huenda na hapa Afrika ikiwemo Tanzania ipo kwani tuna misitu mingi sana. ameniuliza kama inapatikana hapa Tanzania na inaitwaje. nimeleta kwenu picha ili kama kuna mtu anafahamu aweze kunijulisha. pia itakuwa kitu kizuri kufahamu kwa wale wanaofanya biashara za mbao.
 

Attachments

 • Diptero2.JPG
  Diptero2.JPG
  32 KB · Views: 363
 • hollongTree.jpg
  hollongTree.jpg
  302 KB · Views: 379
 • JRD23.jpg
  JRD23.jpg
  65.7 KB · Views: 303

Similar Discussions

Back
Top Bottom