Je mtawachagua hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mtawachagua hawa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KibaaipigaCCM, Sep 30, 2010.

 1. K

  KibaaipigaCCM New Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawauliza Watanzania je mtakichagua chama chenye kauli mbiu ya
  1-Wizi Zaidi
  2-Rushwa Zaidi
  3-Ufisadi Zaidi
  4-Umasikini Zaidi
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Jibu hapo ni hapana ila tuchunge wasije kuchakachua matakwa yetu
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unauliza mwenyewe halafu unajibu mwenyewe. Teeeeeh teh teh. :becky: :becky: :becky:

  Chadema02.jpg
   

  Attached Files:

Loading...