Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Ngabu for President in 2010!
Oyaah from behind the bars to state house....ka Madella ...haya Homeboy kila laheri!
Ngabu for President in 2010!
Kelly, cha msingi ni kuuliza swali kuwa watafanya nini cha tofauti,hilo swali ni muhimu sana...Awe ambaye ni popular ama la,cha msingi ni swali hilo alilolimwa JK,ni kipi watafanya cha tofauti? Unless umeridhika na mwenendo wa nchi toka tupate uhuru....Then the next thing utamwuliza sheick Yayha...Cha muhimu nilichokuwa nikisisitizia ni kwamba tuwapime kwa vigezo vya kile watakachoifanyia nchi na si nchi itakachowafanyia,personalities,gender nk hayo ni afterwards.
Ngabu for President in 2010!
Oyaah from behind the bars to state house....ka Madella ...haya Homeboy kila laheri!
Jmushi...Mimi simuongelei JK sasa...as far as i know Jk hakuna chochote atakachofanya...nilisikiliza sana lile swali aliloulizwa na Isha Sesay na akashindwa kujibu na siyomara moja several time...
Nachoongelea sasa ni kufikiria mtu mwingine ambaye we think can do better than huko tulipotoka (back in years)...mtu amabye thinking capacity yake ni kubwa na yupo motivated kuchange sura ya Tanzania awe na Nia.....
Na ndiyo maana nikaja na suala la gender maana tumeongozwa na maraisi wa kiume na hakuna any changes.Kwa mtazamo wangu labda tuanze kufikiria na wanawake pia...hivi unajua sisi wanawake tunafikiria mbali sana kuliko nyie wanaume..though najua hamtakubaliana na mimi ila you need to think about it.
Wee chukua mifano ya makazini na maboss wa kike.
...suala la gender maana tumeongozwa na maraisi wa kiume na hakuna any changes... na wanawake pia...
Hoja nzito sana na tupo pamoja.
Maandalizi yameanza kwa ajili ya awamu ya tano.
Habari yako Mr Mama!
Habari yako Mr Mama!
Hoja nzito sana na tupo pamoja.
Maandalizi yameanza kwa ajili ya awamu ya tano.
Habari yako Mr Mama!
There we go,feminism,kwa hiyo mnaamini kabisa kuwa tatizo ni raisi manamume na solution ni rais mwanamke? Idea positive za ujenzi wa nchi zinatofautianaje btn men and women?
Mabadiliko kuendea maendeleo na maisha bora kwa kila Mtanzania yataletwa na sisi kina Mama.
Nakubaliana na wewe kuwa tufikirie kuhusu wanawake pia kwa namna nzuri ie kuwapa Urais,lakini cha muhimu nadhani kitakacholeta mabadiliko ni ideas na si personalities ama gender....Akilulizwa swali kuwa atafanya nini cha tofauti akajibu inavyotakiwa then hiyo ndiyo point bila kujali jinsia yake....Wakati wa kuchagua kiongozi kuna sifa na vigezo vinavyowekwa,kwani kuna mahali mwanamke amekatazwa kuwa rais? So cha muhimu ni constructive ideas from the person who wants to be a president...Nini cha tofauti atakachokifanya? Ama sisi kufanya tofauti na kumchaguwa mwanamke ndo solution?
Tupo tayari kwa mapambano na watu sampluli yako.
Mabadiliko kuendea maendeleo na maisha bora kwa kila Mtanzania yataletwa na kina Mama.
Ndugu Mushi, asante sana kwa hoja yako nzuri na nzito.
Naomba ufahamu kuwa wanawake na wanaume wanatofautiana katika ideas positive za ujenzi wa nchi.
Muda utakapofika, nitalijibu hiha yako kikamilifu.
Ahsante.
Ndugu Mushi, asante sana kwa hoja yako nzuri na nzito.
Naomba ufahamu kuwa wanawake na wanaume wanatofautiana katika ideas positive za ujenzi wa nchi.
Muda utakapofika, nitalijibu hiha yako kikamilifu.
Ahsante.
Tupo tayari kwa mapambano na watu sampuli yako.
Mabadiliko kuendea maendeleo na maisha bora kwa kila Mtanzania yataletwa na kina Mama.