Je, mtaani kwenu kuna maji?

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
5,905
8,245
Mtaani kwetu maji yamekatika week ya 2 sasa. Inasemekana lkn eti, baada ya mh rais aliyepita kuondoka kuna watu washaanza michezo ile ya zamani ya kukata maji ili wawe wanauza kwenye maloli!

Hebu tuambie kama na mtaani kwenu maji yamekatwa kwa muda mrefu. Huwezi jua labda mama ataliona kisha atalifanyia kazi.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano, kazi iendelee.
 
Namshauri rais wetu mama Samia Suluhu Hassan,atoe tamko rasmi; ya kwamba ni marufuku kwa huduma za kijamii kubadilika utofauti wowote utakaotokea utahesabika kama sabotage kwa awamu ya sita.

Maji yatoke tena yaliyowekwa dawa,umeme usikatike kama ilivyokuwa awali,na atakayesababisha badiliko lolote la huduma hizi kama zilivyokuwa zinatolewa awali atawajibika mara moja.

Namtakia kazi njema rais wetu na Allah amjalie,atuongoze vyema.
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom