Je mtaani kwenu haya mambo yapo?kwa mara ya kwanza inanishangaza!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mtaani kwenu haya mambo yapo?kwa mara ya kwanza inanishangaza!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mao ze dong, Oct 6, 2012.

 1. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kwa mara ya kwanza kutembelea dar nikitokea Arusha baadh ya mambo yalinishangaza pale mwenyeji wangu alipokuwa akinielezea mambo ya waswahili
  1.Et weng wanapenda kuonekana wamekula ubwabwa(wali)kila siku jioni kumbe hawajala.Eti mtu ananunua mchele kilo anauweka ndani kila siku jioni anasimama mlangoni kuupepeta lakini ndani anapika ugali,hii ilinishangaza nikajiuliza kwani kula ubwabwa ndo kipimo kwamba una pesa?

  2.jamaa kaendelea kunipa nyingine,eti mtu ataokota maganda ya mayai usiku kwenye vibanda vya kukaangia chips pamoja na mabox ya maziwa na kila siku asubuh anakua anatupa hayo maganda na mabox ya maziwa nje iliaonekane amekunywa chai ya maziwa na mayai kumbe ndani wanakula mihogo au vitumbua

  3.eti mtu kama amealikwa kwenye sherehe kubwa kama Arusi anaazima kuanzia kiatu,gauni/suruali,hereni,mikufu,wigi etc hapa pia nilibak nikishangaa

  je ni kweli mitaa ming ya uswahilini dar wanaivi vitabia?by the way sijawah experience maisha ya namna hii sehemu niliyolelewa though nimekulia maisha ya kawaida.hebu tupieni mengine
   
 2. s

  souvenir Senior Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahhaaa
   
 3. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  Uko ndani kwako unakaanga dagaa kauzu lako, wachukua maganda ya vitunguu na kuyatia jikoni mwee..!! majirani wataumiaje?
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahaha
   
 5. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ngoja nipite sijawahi kuonahayo
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Uswazi bwana kuna vituko kweli
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mbona hayo ya kawaida tu uswazi.......
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Njoo mitaa ya kwetu buguruni madenge utaona!
   
 9. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  duh,unayapata sana haya mambo,au na wewe mmojawapo? Joking
   
 10. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  alafu mtu anayefanya haya mambo majirani wakimshtukia inakuaje?anaacha au
   
 11. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  duh kwangu yalikua si ya kawaida coz sijawai ona
   
 12. T

  The_Analyst JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 214
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mkuu kwani wewe unakaa wapi?
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Tembelea uswazi wa Kipare...samaki anachemshwa kila siku, mchuzi unaopatikana unatumika samaki anaanikwa tena juani kwa matumizi ya siku za usoni.
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapo No 2 , mbona mihogo ni bora kwenye mwili kuliko vitumbua?
  Nway inahitaji ufahamu .
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: kweli uswahili ni noma
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Uanashangaa hayo..?? Mtu anakunywa uji bila sukari halafu anatoka anaenda kijiwenini na toothpick na stori kibao,jamani hizi nyama zimenichosha..
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Yaani haiwezekani ukawa zombii hivyo! Huhitaji kuishi kila maisha ili uyaongelee, mengine una-observe tu na kujua imekaa kaaje. Mbona tunaongelea habari za.dunia nzima japo hatujafika?
  Huku kwetu unamuona mmama amechafuka migold kila kona, anatokea nyumba ya matope na ameipangisha. Na anakula ugali tembele daily. Mtu haulizwi umekula nini, anaulizwa umevaa nini.
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Eh,nilidhani najua maisha kumbe bado mi ni Dogo..
   
 19. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  mianzini-arusha
   
 20. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  this is too much
   
Loading...