Wakuu,
Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?
KAMA SIYO,je haya mapepo(mashetani) ambayo huwa tunaona watu wakihangaika nayo huwa ni kitu gani?manake mimi nimeishi na mtu ambaye anamatatizo kama hayo ya kubadilika macho,sauti na nguvu ,kutulia kwake mpaka aje shehe aseme mistari flani ya quran ndiyo anatulia...na quran tunaamini ni kitabu cha Mungu ..je hapa hamuoni kuna nguvu zaidi ya shetani??????
Pia hata wachungaji pia tunaonaga wakiyafukuza haya mashetani....au hamuamini pia kwenye ulimwengu wa giza???
KAMA NDIYO mnaamini uwepo wa ulimwengu wa giza , maana yake upande mwingine kuna ulimwengu wa mwanga ambao ndiyo upi sasa?...
Na kama hamuamini chochote kati ya Hivyo mnaamini katika nini?Hakuna nguvu ya zaidi ya tunayoyajua?
Hapa tuelimishane kwa facts na siyo jazba wala kuwa defensive tunataka facts only....karibuni