Je, msafara wa Rais unaweza kupisha gari la Wagonjwa?

Mgonjwa wa kawaida huwa anaescort ya ulinzi? Unafikiri kwa Nini Hana? Rais huwa anaescort ya ulinzi na ambulance yenye madokta bobevu, unafikiri kwanini?

Jibu ni rahisi tu, kwamba rais hatakiwi hata kujeruhiwa sembuse kufa. Kwaio ambulance ya mgonjwa mahututi itasubiri msafara wa magari 78 upite then itaendelea na safari. Mgonjwa akifa atazikwa na ndg zake huko.

Halafu hili sio swali la kiintelijensia ni swala la komoni sensi 😁
 
Inawezekana isiwe ambulance yenye mgonjwa au yenye mgonjwa lakini kumpisha rais kwa dk kadhaa haiwezi kuwa sababu ya kifo chake, pia Kuna uwezekano hiyo ambulance ni ya majambaka hivyo wamejazana kwenye hiyo ambulance au Kuna bomu wamelitega ndani ya hiyo ambulance, alafu hiyo ambulance hawajui kama hiyo njia atapita rais? maana huwa wanatoa taatifa kabla, au kwani njia zimekwisha?

Pia rahisi ana umuhimu zaidi kuliko mtu mmoja au zaidi, kwani ikitokea moja ya hayo na rais kupoteza uhai, kuna uwezekano wakutokea vifo vingi zaidi sababu ya kifo chake na taifa zima kuyumba.

Rais itabidi apite aisee.
 
Mgonjwa wa kawaida huwa anaescort ya ulinzi? Unafikiri kwa Nini Hana? Rais huwa anaescort ya ulinzi na ambulance yenye madokta bobevu, unafikiri kwanini?

Jibu ni rahisi tu, kwamba rais hatakiwi hata kujeruhiwa sembuse kufa. Kwaio ambulance ya mgonjwa mahututi itasubiri msafara wa magari 78 upite then itaendelea na safari. Mgonjwa akifa atazikwa na ndg zake huko.

Halafu hili sio swali la kiintelijensia ni swala la komoni sensi
Common sense imetumika ikashindwa kutofautisha usalama na utu mkuu
 
Inawezekana isiwe ambulance yenye mgonjwa au yenye mgonjwa lakini kumpisha rais kwa dk kadhaa haiwezi kuwa sababu ya kifo chake, pia Kuna uwezekano hiyo ambulance ni ya majambaka hivyo wamejazana kwenye hiyo ambulance au Kuna bomu wamelitega ndani ya hiyo ambulance, alafu hiyo ambulance hawajui kama hiyo njia atapita rais? maana huwa wanatoa taatifa kabla, au kwani njia zimekwisha?

Pia rahisi ana umuhimu zaidi kuliko mtu mmoja au zaidi, kwani ikitokea moja ya hayo na rais kupoteza uhai, kuna uwezekano wakutokea vifo vingi zaidi sababu ya kifo chake na taifa zima kuyumba.

Rais itabidi apite aisee.
Ikitokea Rais kafa vifo vingi vitatokeaje? Mkuu, pia nchi itayumbaje?
 
Kiubinadamu ilipaswa ambulance itangulie.

Lakini kiusalama na kwa kufuata protocol, msafara wa Mh Rais ndiyo unaopaswa kutangulia. Hii ni kwa usalama wa Rais na hadhi yake. Pia, safari nzima ya Mh Rais upo katika mpangilio maalum ambao haupaswi kuvunjwa isipokuwa kwa sababu zisizoepukika. Kwamba muda fulani atakuwa mahali fulani. Kupisha ambulance ipite ni sawa na kuuvuruga mpangilio huo na huenda ikasabisha maswaibu makubwa.

Hivyo mgonjwa atafutiwe njia mbadala ya kupata matibabu.

Kumbuka:
Kuuvamia msafara wa Rais, utakabiliwa na kosa la uhaini.
 
Ok
 
Kubali kataa..binaadamu tunazidiana kwa umuhimu...

Mf. Wewe na steve jobs mnahitaji "ventileta" kwa kuwa mpo katika hatari ya kufa kwa kukosA kupumu viZuri(covid19),ventileta ni moja tu. Unadhani utapewa wewe?

#haunaimpactyoyotekiuchumikijamiihatakisiasakapukuwewe

Wapendwa natumaini hamjambo sana,

Nauliza hivi, ikitokea kuna msafara wa Rais unapita halafu kuna ambulance ina mgonjwa mahututi anatakiwa kuwahishwa hospitali, je nani atampisha mwenzake?

Nawasilisha
Itategemea kiongozi ameamkaje
 
Mgonjwa wa kawaida huwa anaescort ya ulinzi? Unafikiri kwa Nini Hana? Rais huwa anaescort ya ulinzi na ambulance yenye madokta bobevu, unafikiri kwanini?

Jibu ni rahisi tu, kwamba rais hatakiwi hata kujeruhiwa sembuse kufa. Kwaio ambulance ya mgonjwa mahututi itasubiri msafara wa magari 78 upite then itaendelea na safari. Mgonjwa akifa atazikwa na ndg zake huko.

Halafu hili sio swali la kiintelijensia ni swala la komoni sensi
Bas jamaa itakuwa kila weekend anafanyiwa check up,ananyolewa ndevu,anaogeshwa etc
 
Kiubinadamu ilipaswa ambulance itangulie.

Lakini kiusalama na kwa kufuata protocol, msafara wa Mh Rais ndiyo unaopaswa kutangulia. Hii ni kwa usalama wa Rais na hadhi yake. Pia, safari nzima ya Mh Rais upo katika mpangilio maalum ambao haupaswi kuvunjwa isipokuwa kwa sababu zisizoepukika. Kwamba muda fulani atakuwa mahali fulani. Kupisha ambulance ipite ni sawa na kuuvuruga mpangilio huo na huenda ikasabisha maswaibu makubwa.

Hivyo mgonjwa atafutiwe njia mbadala ya kupata matibabu.

Kumbuka:
Kuuvamia msafara wa Rais, utakabiliwa na kosa la uhaini.
Kuna siku jamaa alipiga u turn akaawacha watu na bumbuwazi
 
Kubali kataa..binaadamu tunazidiana kwa umuhimu...

Mf. Wewe na steve jobs mnahitaji "ventileta" kwa kuwa mpo katika hatari ya kufa kwa kukosA kupumu viZuri(covid19),ventileta ni moja tu. Unadhani utapewa wewe?

#haunaimpactyoyotekiuchumikijamiihatakisiasakapukuwewe

Nimechekaaaaa
 
Back
Top Bottom