Je Mrithi wa Regia ilikuwa lazima atoke kasikazini??

Acha dharau wewe, unataka kusema mikoa mingine hakuna hiyo QUALITY mnayoitaka? Yaani karne hii ya ishirini na moja mnatupakia kwenye gari la ukabila harafu mnataka mpewe nchi kwa kura????? Hii itakuwa ngumu kwenu bana!

Mkuu hapa pana ujanja, nguvu ya umma ina manufaa zaidi kwa wengine
 
Kakakiiza,
I understand your concern. Lakini napenda tu kukujulisha kuwa swala la kuchagua mrithi wa cdm lipo ndani ya tume. Chadema hawahusiki kwa lolote. Majina yalipelekwa siku nyingi na miongoni mwake ndio tume itamchagua mmoja wao.. Cdm watatakiwa tu kuthibitisha kama bado ni mwanachama wao. Kwahiyo swala ka haraka na kuharakisha ni kwa nec na si cdm.

Kuhusu anapotoka huyo mrithi kwangu mimi sio jamao la msingi. Lamsingi ni kutetea maslahi ya watz wote na kukijenga chama. Awe mzalendo wa kweli na awe tayari kujitoa na kujitolea. Haijalishi ametoka wapi.
Ukisema hivyo nisawa ila kama chama kina uwezo wakusema kwa tupeni mda kwani wao hawawezi kuchagua bila kuwahusisha CDM,kwani wanajuaje kati yamajina hayo je kama yupo hai au kahama chama??hivyo mawasiliano yapo kati ya NEC na CDM!kwa mantiki hiyo walikuwa na uwezo wakuwambia wasubiri!hata kupeleka majina mapya!NEC haivichagulii vyama ninani kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na kama chama wanaweza kupendekeza ajina mengine japo wengi mnatusi,mnabeza lakini hatuwezi kukaa kimya kwakushindwa kukisema chama hata kama nakipenda vipi!chama siyo ukoo nasiwezi kuhama chama kwa sababu za wehu waliyopo nyuma ya keybord.
 
sijui kama umesoma post zote na kuelewa vizuri majibu ya NEC pia kujua majukumu ya mbunge mtarajiwa yanaanza lini?
 
hapa CHADEMA ilitakiwa kutumia mwanya wa kujijenga katika mikoa mingine ambayo haina wabunge kama ya kusini na singida, zanzibari na Pemba. hapo ungepanda mbegu nzuri sana na mavuno mengi ungeyavuna. inaonesha kwa jinsi gani ubunge unavyotafutwa kinguvu, . Maiti hata hajafikisha arobaini, watu washepiga kampeni ya kuomba nafasi hiyo! Chadema acha uregionalism!

kwani pemba liko tanzania bara?
 
Nimesikia mrithi wa Hayati Regia amepatikana kutoka Karatu! Je ilikuwa lazima wapitie kwenye kumbukumbu za chaguzi zilizopita?? Kwa nini hawakufanya uchaguzi mwingine ili kuleta uhalisia wa usawa kwenye chama na kuondoa dhana kuwa ni chama cha kanda ya Kaskazini??

Na ninafikiri ilikuwa vyema wangeenda Zanzibar,Mtwara,Songea,nafikiri wangepata watu wakuwakilisha viti maalumu na kuziba nafasi iliyoachwa na Regia! Hapakuwepo na uharaka kiasi hiki!

Kwani hata wiki haijaisha tangu marehemu azikwe mimi hapo nimeona kwajicho latatu nimeona kulikuwepo na upungufu!! Kwani Jambo hili limepelekwa haraka sana!

Mtaje huyo mbunge unaemsema ameteuliwa co kurukia tu wakati chama hakijatoa tamko hayo ni mawazo yako
 
we mbona umekalia ubishi? Regia hakuwa mbunge wa kilombero. Yy alikuwa wa taifa na sheria ipo wazi
jinsi ya kuziba pengo linapotokea. So kama huelewi omba ujulishwe sio kutaka kuchonganisha familia na chama. Uharaka upo. We hujui kwamba sister regia aliacha malengo yenye muda maalum? Je hujui kamati za bunge zipo mzigoni tayari kwa maandalizi ya bunge la februari? Tafiti kabla ya kuleta uchonganishi wako shenz type. Pumbaaaav.
Rip dada regia. Tutapambana kuhakikisha tunawadhiti wale wote watakaojaribu kukutumia kisiasa na kibiashara na pia tutahakikisha tunakamilisha ndoto ulizoziacha mezani.
Haya sasa! Watu wenye akili wanashindana kwa HOJA, ww unashindana kwa MATUSI. Unatutambulisha ulivyo.
 
Tupenii jina la Waziri Kivuli wa iliyokuwa wizara ya dada yetu mpendwa Mh. Regia kama nalo mmelipata wasemaji wa Mnyika.
 
KakaKIiza, kwani Jetruda Lwakatare alipatikanaje baada ya kifo cha Amina? Si alichukuliwa YULE ALIYEFUATA kwa wingi wa kura? Tatizo liko wapi? Kama nafasi ya 26 angepata mtu wa Zanzibar, Songea au kokote unakopenda atoke, angechukuliwhuyo. Hili ni suala la utaratibu!
 
Kweli sometimes kuona credibility ya greatthinker hapa kazi sana.Mara nyingi watu mnalia lia hapa kwamba JK fuata/anafuata utawala wa sheria,Lakini ukweli kumbe hata sheria wengi hamzijui.Sasa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchagu hutaka Vyama vya Siasa vinavyoshiriki uchaguzi husika kupeleka Majina ya Wanaowapendekeza kushika Viti maalum siku (100,nipotayari kukosolewa hapa sikumbuki vizuri) kabla ya uchaguzi Mkuu kufanyika.Nakumbuka kuna vitu flani CDM hawakukamilisha uchaguzi uliopita wakaruhusiwa Wiki mbili kabla kuwasilisha majina yao(Rejea mchakato wa utaratibu wa Dr.Kitila Mkumbo).CCM waliwasilisha 210(kama sikosei) CDM 170's hivi.
Point to Note:
Baada ya Hapo Suala na Mamlaka ya Chama cha Siasa Yanakwisha,narudia MAMLAKA YA CHAMA CHA SIASA YANAKWISHA.Kinachobaki hapo ni Mamlaka ya NEC yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi TU.Wao ndio wanatumia ile orodha kuziba nafasi yoyote iliyoachwa wazi.Sasa CDM wanahusika vipi hapa na habari za Mbunge katoka wapi leo hii.Nakushukuru uliye fanya REFERENCE ya Amina Chifupi na Dr.Lwakatare.Kuweni Greatthinker basi kidogo ili muheshimike na Wana JF,sio kukurupuka kila wakati.Siasa na Ushabiki haviwasaidii
 
Mleta mada amejaa majungu .Baada ya kusoma gazeti na maneno ya Slaa na Zitto sasa nangojea Tume itamke na Chadema wasema yes or no ndiyo kazi yao kwenye hili .Chadema hawana kosa na sheria iko wazi .
 
Utaratibu unaeleweka na upo NEC.Sema kitu cha muhimu ni kuangalia upya huu utaratibu unaotumika NEC kwamba mmoja akihama chama au akitangula mbele ya haki basi anayefuata ndiye mrithi moja kwa moja.Utaratibu huu utakuja kufanya watu wauane huko baadae.Hii ni changamoto !

Yes Ben.
 
Ukisema hivyo nisawa ila kama chama kina uwezo wakusema kwa tupeni mda kwani wao hawawezi kuchagua bila kuwahusisha CDM,kwani wanajuaje kati yamajina hayo je kama yupo hai au kahama chama??hivyo mawasiliano yapo kati ya NEC na CDM!kwa mantiki hiyo walikuwa na uwezo wakuwambia wasubiri!hata kupeleka majina mapya!NEC haivichagulii vyama ninani kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na kama chama wanaweza kupendekeza ajina mengine japo wengi mnatusi,mnabeza lakini hatuwezi kukaa kimya kwakushindwa kukisema chama hata kama nakipenda vipi!chama siyo ukoo nasiwezi kuhama chama kwa sababu za wehu waliyopo nyuma ya keybord.
Mkuu, nilitegemea una ustaarabu wa kujifunza kile usichokijua kumbe siyo! Huu uzi umeuweka wewe, je umepitia reply
zote, umeona matamshi ya ofisa wa NEC? Bado unadanganya kuwa Chadema wanaweza kupeleka majina mapya?! Hebu tuwekee hapa sheria/kanuni zinazoruhusu hilo..
 
Acheni kulalamika,washauri dada/mama zetu wenye sifa wagombee 2015. Orodha ya special seats kwa 2010 - 2015 tayari imeisha enda Tume ya Uchaguzi. Siyo CDM tu,bali ni kwa vyama vyote,hawawezi badili orodha ya majina sasa!
 
Nakuunga mkono KK. CDM iajipaka matope chenyewe badala ya kusubiri kipakwe matope na opponents. Walichofanya siyo rahisi kueleweka

jamani tuache kuchukia vitu bila kutafiti. Mimi ni mwanachama wa cdm, nilistuka nilipokutana na taarifa hii kwa sabab tunahitaji kujiimarisha mikoa ya kusini. Nimefanya uchunguzi na kukutana na ukweli,cdma wanasubiri taratibu za tume ya uchaguzi wao watoe baraka tu. Nec watachukua mmoja kati ya wale waliobaki na kupeleka cdm ili wamthibitishe.soma mwananchi la leo
 
quote_icon.png
By Vancomycin

Nilichokisikia ni kwamba uteuza utafuata orodha iliyoko tume ya taifa ya uchaguzi na siyo kuitisha uchaguzi mpya,kama kwenye orodha hiyo baada ya mtu wa mwisho ni huyo wa karatu tatizo nini?

tatizo orodha iliyopelekwa mwanzo ina wakaskazini wengi(wakaratu)

Infact hii ndiyo jibu sahihi, kwani uwezo au mamlaka ya kuteua atakayerithi nafasi ya Regia atatokea kwenye orodha ya majina 105 yaliyopelekwa na chama kwenye tume ya taifa ya uchaguzi.
Kuhusu uwingi wa majina ya watu wa kaskazini yaliyopelekwa nec naweza kuungana na hoja yako kwa upande moja wa shilingi, lakini kwa upande mwingine lazima tukubali kuwa watu wa kaskazini mwamko wao ni mkubwa kisiasa, tofauti na mikoa mingine ambayo bado watu wanaitumikia kama chama cha nyerere. toka mfumo wa vyama vingi ianze, asilimia kubwa ya wana mabadiliko wa nchi hii imetokea mikoa ya kaskazini na magharibi.
Mikoa ya nyanda za juu kusini si ya kubezwa kwenye mwamko huu.
 
Mkuu, nilitegemea una ustaarabu wa kujifunza kile usichokijua kumbe siyo! Huu uzi umeuweka wewe, je umepitia reply
zote, umeona matamshi ya ofisa wa NEC? Bado unadanganya kuwa Chadema wanaweza kupeleka majina mapya?! Hebu tuwekee hapa sheria/kanuni zinazoruhusu hilo..

watu waliozoea kukarii huwa hajiulizi kwa nini imetokea hivyo. Yeye atashika kile alichonacho.
 
Mada umeikutia mbele soma thread za nyuma utapata hadi wajihi wake!

ni tetesi tu ambazo watu wanahisi kutokana na taratibu za nec ambao hutumia majina yaliyobaki 2010. Mbona unataka kulazimisha kile unachofikiria wewe na taratibu zipo. .?
 
Back
Top Bottom