shukrani kaka japo kada yangu apo bado haijawekwaAngalia kama upo hapo mkuu.View attachment 1204958
itakuwa wanaenda kwa awamu,na awamu zingne bado kwanza,ila kwa border officers na inspection ambao hawajaona majina yao hapo ndo hawajakidhi vigezo,sisi wengine tuendelee kusubiriHapo wametoa kada mbili tu, Inspection.....,na border offices halafu kule juu wakasema waombaji wengine watapangiwa siku na tarehe za usaili wao.sentensi nyinginezo inasema ambao hawapo ktk hiyo list hawakukamilisha vigezo.
Sasa mm sijaelewa aliye elewa anifafanulie kwani walitoa ICT, Engineering ,mining nk..Inamaana huko kwingine watu hawakukamilisha vigezo kweli!!!au ndo inaingia wengine watapangiwa siku yao ya usaili??
Sawashukrani kaka japo kada yangu apo bado haijawekwa
kwel mkuu?
Yap interns wa TBS hulipwa 200k kila ijumaa
Wanakuja wenye kuelewa ,Kuna mtu alisema mnakunja elfu hamsini kwa siku
Yap interns wa TBS hulipwa 200k kila ijumaa
IPI NI SAHIHI?Yeah perday ni 40k na sometimes kuna marupurupu kibao Tbs panono sana
IPI NI SAHIHI?