Je, mrejesho wa nafasi za Internship katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) unatoka lini?

Chinedu5

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
758
2,692
Habar wana JF!

Mwezi wa 8/2019 TBS walitangaza nafasi za Internship vipi kwa anaefahamu wameshachagua wenye vigezo ama bado? Anaefahamu naomba anitaarifu
 
Ingia kwenye website yao mkuu, mzigo washaweka tangu wiki iliyopita. Angalia hapo, ikiwezekana kajaribu bahati yako.
 
Hapo wametoa kada mbili tu, Inspection.....,na border offices halafu kule juu wakasema waombaji wengine watapangiwa siku na tarehe za usaili wao.sentensi nyinginezo inasema ambao hawapo ktk hiyo list hawakukamilisha vigezo.

Sasa mm sijaelewa aliye elewa anifafanulie kwani walitoa ICT, Engineering ,mining nk..Inamaana huko kwingine watu hawakukamilisha vigezo kweli!!!au ndo inaingia wengine watapangiwa siku yao ya usaili??
 
itakuwa wanaenda kwa awamu,na awamu zingne bado kwanza,ila kwa border officers na inspection ambao hawajaona majina yao hapo ndo hawajakidhi vigezo,sisi wengine tuendelee kusubiri
 
Matekeo ya usaili wenu hayo hapo
 
Attachments

  • MATOKEO_YA_USAILI_WA_INTERNS_-_IMPORT_INSPECTION (1).pdf
    130.8 KB · Views: 22
Back
Top Bottom