Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,450
- 3,379
- Thread starter
- #21
AiseeMpanda ndo Mambo yote, hujakosea, nenda ni pazuri sana kibiashara na patakuwa pazuri zaidi kwa sababu Sasa Kuna usafiri wa ndege na barabara ya Mpanda Tabora inajengwa kwa kiwango Cha lami na mpaka mwaka huu mwishoni inaweza ikawa imekamilika, so mambo ya biasharaa na huduma za jamii yatakuwa vzr sana sana, so nenda Mpanda, hutajuta, Ila utajilaumu kwa nn umechelewa kwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ngoja tu niende sina namna kabisa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app