Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

Yea.. kilimo cha mpunga utawahi vzr tu.. kwa sababu mvua za mpunga zinaanza february
Hapana kilimo Cha Mpunga umechelewa kwa maana ya maeneo ya kukodi... vinginevyo Hadi utafute Sana na Kuna mawili

Ama kubambikiwa sehemu mbovu /mbaya( kumbuka msimu huu mvua zimekua nyingi Sana,)

Ama kupata sehemu nzuri lakini kwa gharama kubwa Sana zaidi ya laki 4

Ila wapo ambao mwezi wa tatu unaweza bahatisha akakuuzia sehemu ambayo amepanda tayari ajili ya ukata

Vinginevyo ukiwa ma mwenyeji mzuri....biashara nzuri Ni kuwakopesha Hawa Hawa wakulima kwa miadi ya kulipwa Mpunga....yaaani unamkopesha 20,000 Anakuja kukulipa gunia

Ila is very risk...unaweza rogwa pia....lakini wakati mwingine jamaa wanatoroka na hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uache uongo....umedanganya jamaa Sana

Nipo Katavi kwa Sasa

Kutoka mbeya Hadi Katavi Ni masaa 10 masika,kiangazi masaa 12

Vijijini ulivyotaja...mzee ana mashama kibao

Mjini Hadi Itenka A na B huwa nadrive hardly dk 20

Vijijini vingine vya production Kama kakese Ni dk 10

Mpanda Ina advantage hata a kusafirisha in bulky kwa urahisi kwa gharama ambayo haitofautiani na Moro....nimefanya biashara ya kusafirisha mazao...kutoka wilaya za ndani za Moro na vijiji....mpanda kuna treni ambayo kg 1 unaweza kuta Ni sh 80 wakati sehem nyingine Ni 150

Mpanda mjini biashara Ni kubwa pia ...kwa sababu imekua Kama hub ....mahindi toka Rukwa na ya Mpanda yote yanayoenda Congo na nchi jirani yanatokea Mpanda

Kubwa zaidi Ni Mpunga

Mnaotaka kuja kwa fursa za kilimo msije Sasa....mechelewa
Njooni mwezi wa 6 mashamba hasa ya Mpunga ndio hukodishwa

Mkichelewa inakua ngumu

Huku tren kila likimwaga watu Ni wasukuma

Kahama yooote imehamia MPANDA,na Hawa jamaa wanajenga nyumba nzuri kweli porini

Kifupi ,ukiona sehemu msukuma kaweka kambi,usicheze mbali Kama sio mvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm nipo nilikuwa mpanda kwa takribani miez 8...tatizo hujaeleza huo mtaji wa milioni unataka kufanyia inshu gani

maisha ya katavi na morogoro yana utofauti...mzunguko wa pesa katavi ni mdogo kulinganisha na morogoro

maisha ya mpanda ni ya chini...una survive vzr tu kwa kipato cha kawaida kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu biashara tu ndogo ndogo kama nguo za mtumba au kuuza vifaa vya vyombo, cover za cm yaan tu vitu vinavyotoka upes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm nimefanya kazi kulee duh bado kuna hustling kubwa mnoo kwa kuwa mkoa huo upo pembezoni mwa nchii ni njia pandaa. Kuingiaa mkoaa huo lzm uchanye mbugaa balaa hadi ungia mjini mpandaa ambako ndio makaoo makuu ya mkoaa wa katavi SAS basi kama utataka kuingia vijijini asiee vijiji vya uko ni viko mbalii mnoo mfano kapalamsengaa itenga uko duh zaid ya kilometer 120 ufike uko SAS cjui utalima nin umuuzie nani aviletee DSM kimsngi naakushauri jikite Moro tu uko uwe na mtaji maana ndio ukaweke kambi mjini apo ata ufunguee hardware. Materiala

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi siend kulima mimi naenda kupiga biashara tu wala siendi kijijin naenda mjin kabisa penyewe

Naomba nishaul ni biashara gan nitafanya ili nitoboe kwa pale town siyo vijijin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uache uongo....umedanganya jamaa Sana

Nipo Katavi kwa Sasa

Kutoka mbeya Hadi Katavi Ni masaa 10 masika,kiangazi masaa 12

Vijijini ulivyotaja...mzee ana mashama kibao

Mjini Hadi Itenka A na B huwa nadrive hardly dk 20

Vijijini vingine vya production Kama kakese Ni dk 10

Mpanda Ina advantage hata a kusafirisha in bulky kwa urahisi kwa gharama ambayo haitofautiani na Moro....nimefanya biashara ya kusafirisha mazao...kutoka wilaya za ndani za Moro na vijiji....mpanda kuna treni ambayo kg 1 unaweza kuta Ni sh 80 wakati sehem nyingine Ni 150

Mpanda mjini biashara Ni kubwa pia ...kwa sababu imekua Kama hub ....mahindi toka Rukwa na ya Mpanda yote yanayoenda Congo na nchi jirani yanatokea Mpanda

Kubwa zaidi Ni Mpunga

Mnaotaka kuja kwa fursa za kilimo msije Sasa....mechelewa
Njooni mwezi wa 6 mashamba hasa ya Mpunga ndio hukodishwa

Mkichelewa inakua ngumu

Huku tren kila likimwaga watu Ni wasukuma

Kahama yooote imehamia MPANDA,na Hawa jamaa wanajenga nyumba nzuri kweli porini

Kifupi ,ukiona sehemu msukuma kaweka kambi,usicheze mbali Kama sio mvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi siji kulima nakuja kupiga biashara tu ndungu yangu

Na siendi vijijin nitakomaa tu town

Fact , nimezaliwa huko,nimeishi huko nimehama 2018 Nov sa hivi sehemu nyingi barabara nzuri na Kuna lami za mtaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho Mpanda kwa kutafutia maisha ni pazuri sana. Mimi mwenyewe nimeanzia huko nikahamia Morogoro. Lakin Moro ilikuwa ni shida nikarudi Mpanda sasaiv nipo DSM.
Mkuu mm nimefanya kazi kulee duh bado kuna hustling kubwa mnoo kwa kuwa mkoa huo upo pembezoni mwa nchii ni njia pandaa. Kuingiaa mkoaa huo lzm uchanye mbugaa balaa hadi ungia mjini mpandaa ambako ndio makaoo makuu ya mkoaa wa katavi SAS basi kama utataka kuingia vijijini asiee vijiji vya uko ni viko mbalii mnoo mfano kapalamsengaa itenga uko duh zaid ya kilometer 120 ufike uko SAS cjui utalima nin umuuzie nani aviletee DSM kimsngi naakushauri jikite Moro tu uko uwe na mtaji maana ndio ukaweke kambi mjini apo ata ufunguee hardware. Materiala

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka pesa hapo
 
Attachments

  • MPANDA-CRDB BANK.jpg
    MPANDA-CRDB BANK.jpg
    34.7 KB · Views: 27
Back
Top Bottom