Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

fursa popote zipo ni kuzichangamkia mfano bidhaa za duka sehem yoyote zinanunulika au ukifungua kijiwe cha kitimoto na bia lazima uuze kwasababu binadamu wanapenda starehe
 
Mkuu uache uongo....umedanganya jamaa Sana

Nipo Katavi kwa Sasa

Kutoka mbeya Hadi Katavi Ni masaa 10 masika,kiangazi masaa 12

Vijijini ulivyotaja...mzee ana mashama kibao

Mjini Hadi Itenka A na B huwa nadrive hardly dk 20

Vijijini vingine vya production Kama kakese Ni dk 10

Mpanda Ina advantage hata a kusafirisha in bulky kwa urahisi kwa gharama ambayo haitofautiani na Moro....nimefanya biashara ya kusafirisha mazao...kutoka wilaya za ndani za Moro na vijiji....mpanda kuna treni ambayo kg 1 unaweza kuta Ni sh 80 wakati sehem nyingine Ni 150

Mpanda mjini biashara Ni kubwa pia ...kwa sababu imekua Kama hub ....mahindi toka Rukwa na ya Mpanda yote yanayoenda Congo na nchi jirani yanatokea Mpanda

Kubwa zaidi Ni Mpunga


Mnaotaka kuja kwa fursa za kilimo msije Sasa....mechelewa
Njooni mwezi wa 6 mashamba hasa ya Mpunga ndio hukodishwa

Mkichelewa inakua ngumu

Huku tren kila likimwaga watu Ni wasukuma

Kahama yooote imehamia MPANDA,na Hawa jamaa wanajenga nyumba nzuri kweli porini

Kifupi ,ukiona sehemu msukuma kaweka kambi,usicheze mbali Kama sio mvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unadanganya mbona? Mjini to Kasekese dk 10? Kufika tuu Nkungwi au Sibwesa karibia 30 au dakika 40 sembuse Kasekese? Pili issue ya treni nayo siyo reliable maana kila mtu anategemea na mizigo ni mingi, mwaka jana watu mahindi yaliharibika yakiwa stesheni.
 
Back
Top Bottom