Je, modem ya tigo inatofauti na zile za airtel na voda?

WoTE WENYE SHIDA YA KU UNLOCK NENDA GOOGLE SEARCH DC UNLOCKER,HII INA UNLOCK KILA MODEM UNAYOIJUA DUNIAN
 
Mkuu, kumbuka modem ni njia tu yaani kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni kama barabara, barabara ambayo ina ukubwa flani na inatakiwa ipitishe magari ambayo hayazidi kiwango cha barabara pia kuna kikomo cha kupitisha magari yenye uzito flani kulingana na ubora wa barabara...

Kuhusu swala la modem ya voda kuwa na speed kubwa pale inapotumika kuwekwa line ya Airtel , hiyo haina ukweli kumbuka kama Airtel wana toa Speed ya 1mbps kwa 3G ndiyo hiyo hiyo ambayo utaipata kwa kutumia modem yoyote ile iwe ya tigo, voda, airtel.... Hivyo ndivyo navyojua mimi .
Mimi nasubiri maelezo yako kwa hamu kubwa kuhusiana na GB za Zantel. Nilisha ku-PM siku kadhaa zilizopita.
 
Mimi nasubiri maelezo yako kwa hamu kubwa kuhusiana na GB za Zantel. Nilisha ku-PM siku kadhaa zilizopita.

samahani mkuu kwa kuto kujibu pm yako... Kuhusu GB za zantel tayari walishaa shtukia hilo deal na kublock ile njia tuliyokuwa tukiitumia.
 
wakuu

Nina modem (zile za TIGO). Nisaidieni ku unlock ili iweze kutumika kwa mitandao yote.

DETAILS:

HUAWEI
MODEL: E 153
IMEI: 352375045182987

natanguliza shukurani.
 
mwisho wa siku mtoe uamuzi ipi kali tutafute

Je, nikinunua modem ya Tigo inayouzwa TSh. 30,000 nitaweza kui-unlock na halafu ikafanya kwa line zingine kama modem za voda na airtel BILA KUPUNGUZA SPEED? Kama jibu ni ndiyo nitawaza kununua modem ya tigo kwa Tsh 30,000 badala ya ile ya voda ya Tsh. 49,000. NAOMBA USHAURI WATAALAM

Ninatumia Modem za Voda na tigo, zote zina speed nzuri, ingawa tofauti inakuja katika bei za mtandao. Sijajaribu kuchakachua, ila kama ya Tigo inachakachulika, ni bora mtu ukanunua hiyo (kwa sababu ni bei rahisi) kisha uka-unlock.
Kuhusu bei za mtandao, kwa Tigo natumia package ya Standard Week (15,000), inatumika kwa muda wa wiki moja na ni unlimited download.
 
Siyo kweli mkuu kwamba ni unlimited download, unapewa 2GB,nadhani ujafanikiwa kumaliza hizo 2gb kwa wiki ndio maana unasema hivyo.
 
Nisaidie namana ya kuchakachua hiyo ya Voda tafadhali

Watanzania wenzangu mbona siwaelewi kura mnachakachua, vyeti mnachakachua, rangi ya ngozi mnachakachua, modem mnachakachua. Hivi kuna kitu ambacho wabongo tumeshindwa kuchakachua kweli! Naomba tuache kuishi kiujanja ujanja.
 
tatizo nani ataanza kujitoa muhanga? Mwanza One? umechakachua hapo....lol
 
Nadhani hiyo ndio njia nzuri ya kujua ukweli na uongo. msisitizo zaidi kwa wale wanaopata EDGE dadhani watakubaliana na mm.
yes , ndio mkuu. kukiwa kuna EGDE tu, bila ya HSDPA kama vile mkoa modem pia inameta, same simcard , same location , same time, different modems gives different speeds. mimi nime experience modem ya tigo ye E153 inashindwa hata na simu (mobile phone) iliyokonectiwa na waya wa usb. mobile phone ina speed kubwa.
lakini si sahihi kwa pahala penye HSPDA. zote zinakuja kwa nominal speed, i mean high speed.
conclusion:
modem ya tigo haiko bomba kwa edge
 
Back
Top Bottom