Je mnaliona tangazo la Chai Bora...?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
attachment.php


Lileee linaonekana kwa mbali .........

attachment.php


Hapa linaonekana kwa karibu kidogo.......

attachment.php


Hapa sasa ndio linaonekana kwa karibu zaidi............

CC: KakaKiiza, Asprin, Vin Diesel, jouneGwalu, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Mentor, mwekundu, Kaizer, Ruttashobolwa, Elli
 

Attachments

  • IMG-20131217-00690.jpg
    IMG-20131217-00690.jpg
    310.6 KB · Views: 2,812
  • IMG-20131217-00691.jpg
    IMG-20131217-00691.jpg
    288.5 KB · Views: 2,719
  • IMG-20131217-00692.jpg
    IMG-20131217-00692.jpg
    248.2 KB · Views: 2,677
Last edited by a moderator:
We na wewe huna macho, ina maana hulioni kabisda hilo hapo mbele yako lipo dhahiri kabisa na bayana mbele ya macho yako....
Mtambuzi huoni lilivyofunikwa mpaka ulitafute na maandishi madogo sana may be nikatafute miwani yangu ya kusomea halafu kama limefanana na ukuta vile ndo maana silioni
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi huoni lilivyofunikwa mpaka ulitafute na maandishi madogo sana may be nikatafute miwani yangu ya kusomea halafu kama limefanana na ukuta vile ndo maana silioni
Kwa kweli naona umekufa macho, hebu tafuta mawani kama haya yakwangu........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom