Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

MzeePunch hizo data unazokamilisha zipo wapi. We stayed tune but, till now nothing revealed.
 
Jamani achene kumsingizia huyu dogo, dogo anamiliki Toyota Camri ndoo amiliki vituo vya mafuta si angenunua gari zuri zaidi. Yale magari mazuri anayotumia anaazima kwa marafiki zake town.
 
huyu dogo m namshaur 2015 mwanzoni AHAME NCHI,au aombe DR.SALIM(CCM) au DR.SLAA(CHADEMA) wasichukue nchi..

usidhani ccm wataachia nchi kupitia kura za kwenye mabox. siku hiyo patachimbika, hawatakubali kuachia kwa sababu wameshajua wananchi wana hasira nao, usalama wao utakuwa hafifu mno. tuombe uzima tushuhudie huo muziki.
 
Acheni uvivu na wivu kwani kuna ubaya gani kwa ridh kufanya biashara? hii nchi inakwenda wapi yaani haki ya kufanya biashara inabagua watu?
 
Malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa Iringa
nawakilisha

Si kweli kuwa yale malori ni yao wote, akina asasi wamekuwepo na biashara zao miaka mingi sana kabla hata Jk hajaingia madarakan na hayo malori yalikuwepo, na kama ni kweli basi itakuwa ni halali kwa Riz kumiliki hizo mali sababu atakuwa amezipata kihalali (kabla ya mshua kuingia ikulu )
 
Jamani achene kumsingizia huyu dogo, dogo anamiliki Toyota Camri ndoo amiliki vituo vya mafuta si angenunua gari zuri zaidi. Yale magari mazuri anayotumia anaazima kwa marafiki zake town.

Yap true mkuu huwa anaazima tu kwa washkaji town
 
wabongo kazi yenu umbea,nyie mna usafi gani?wanafiki tu,kila kukicha riz1 tu,hamfanyi yenu!tatizo hapa uraisi wa mshua tu,lakini msisafirie nyota ya mwenzenu,fanya kazi kwa bidii mtapata ownership yenu,
 
Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010.

Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata JK ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya Burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivi majuzi....

" My vision to become one among the leading Oil Marketing Companies in Tanzania way back in 2006 seemed just a distant dream at the time with just a handful of staff, no operational depot, service station or even a fleet of trucks "
" Lake Oil Limited has struggled and come a long way since then and this has been made possible through the 100% support it has received from its various International suppliers and banks, not forgetting the endless efforts of its staff and most important of all, my ongoing drive to succeed, consistent persistence, determination and self motivation "
" Today Lake Oil Limited stands proud among other Oil Marketing Companies in the country and aim's not to stop there, but to reach greater heights by placing itself on an International level having already successfully opened branches in many African countries "
Ally Edha Awadh
Founder and Chief Executive Officer

Message from the Founder and CEO | Lake Group
 
“ My vision to become one among the leading Oil Marketing Companies in Tanzania way back in 2006 seemed just a distant dream at the time with just a handful of staff, no operational depot, service station or even a fleet of trucks ”
“ Lake Oil Limited has struggled and come a long way since then and this has been made possible through the 100% support it has received from its various International suppliers and banks, not forgetting the endless efforts of its staff and most important of all, my ongoing drive to succeed, consistent persistence, determination and self motivation ”
“ Today Lake Oil Limited stands proud among other Oil Marketing Companies in the country and aim's not to stop there, but to reach greater heights by placing itself on an International level having already successfully opened branches in many African countries ”
Ally Edha Awadh
Founder and Chief Executive Officer

Message from the Founder and CEO | Lake Group





Sanntaaa.....maana humu maJELOUS kibaoo...
 
Naskia hata mount kilimanjaro ni ya riz1. Wabongo kwa umbea hatujambo,kwa taarifa yenu Lake oil ni family bussiness ya EDHA AWADH and SONS,familia ya kiarabu wenye kampuni ya AZANIA milling,EDHA AWADH heavy commercial transporter,MEK ONE supermarkets na hiyo LAKE OIL. Na director wa LAKE OIL ni ALLY EDHA AWADH BIN KLEB,mtoto wa mwisho wa mzee EDHA AWADH,director wa EDHA AWADH heavy commercial transporter ni FEISAL EDHA AWADH, director wa AZANIA milling ni FUAD EDHA AWADH and lastly director wa MEK ONE supermarkets ni MOHAMMED EDHA AWADH! Nawasilisha
 
Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010.

Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata JK ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya Burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivi majuzi....

Tenda ya Burundi ni ya Zacharia Hans Pope (Engen)
 
Malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa Iringa
nawakilisha

Asas ni mkwewe jk maana kuna binti wake ni small hausi ya mkuu wa kaya with one kid
 
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.

Mzee papuchi tunasubiri taarifa yako ( I am sure huwezi post kitu )
 
Back
Top Bottom