Je, mmiliki halali wa Mtoto ni Baba au Mama? Au wote wawili?

Kwahiyo aliyelipa mahari ndiye mwenye haki na mtoto?
Vipi wahindi ambao mwanamke ndio analipa?
Mimi nilifikiri tunaongelea sehemu kubwa ya tamaduni za Afrika hususan Tanzania, kama ni mpaka India mimi sijui. Kama kuna wahindi humu watatujuza.

Hata hivyo kuna matriarchal societies in Tanzania kule kusini, na wao sijui. Ila surname ya mtoto inatosha kuonesha nani ndiye mhusika mkuu.
 
Mimi nilifikiri tunaongelea sehemu kubwa ya tamaduni za Afrika hususan Tanzania, kama ni mpaka India mimi sijui. Kama kuna wahindi humu watatujuza. Hata hivyo kuna matriarchal societies in Tanzania kule kusini, na wao sijui.
Ila surname ya mtoto inatosha kuonesha nani ndiye mhusika mkuu.
Mhindi nipo hapa, unasemaje
 
Habari?

Nauliza hivo kwa sababu nimekuwa nikisikia hizi kauli kutoka kwa wanaume "kama unaondoka nenda lakini usiondoke na MTOTO WANGU" .

Ina maana nyie wanaume ndio wamiliki wa mtoto aliyezaliwa na mama hana haki na huyo mtoto?. Kwanini msiseme "mtoto wetu"?
Inategemea mtoto ana umri gani,kama ana umri miaka 7anaweza ulizwa mtoto aende upande gani
 
Back
Top Bottom