Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

Wapinzania wanaweza kuchapisha picha hizo na kuzimwaga mabarabarani halafu siasa ikawa ngumu

Akakosa moral authority
Siyo wapinzani tu sema watanzania wanaweza kufanya hayo maana siyo maadili ya kitanzania
 
Na morogogo ni mojawapo ya maeneo yanayoongoza kwa maambukizi ya hiv na vifo kwa Miaka mingi.

Wengi wako kwa dozi.

Eeh Mungu tuhurumie na kutuepushia mbali.
 
Morogoro wana sehemu wamemkosea Mungu kwa muda mrefu sasa.
Haiwezekani mkoa niwamigogoro tu kutwa kucha. Huyo mkuu wa mkoa waliyepelekewa ninawapa pole sana. Hakuna nafuu watakayoiona kwenye ardhi. Wenye hela washashinda tena washangilie. Wanyonge kwisha kazi yao.
Waandishi wa habari wajiandae kupigwa vita
 
Kumpapasa Mwanamke sehemu za siri kosa, hapo mwenye kosa alieisambaza video.
 
Yaani mtu anashika kibumb,karekodiwa, anapata nafasi ya UDC? Anaonekana anatia madole sehemu za siri za mwanamke?

Naona hata wanaharakati wa wanawake hawalioni hili, ila wakikosa madaraka ndio midomo juu kama bata
Wanaharakati.wenyewe wote wanavizia teuzi
 
Back
Top Bottom