Habari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.
Asante.