Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Rudi jando.

Umesema mengi sana japo ni maneno mawili, najiuliza sana kuhusu hayo maneno mawili au sentesi moja, ina maana sana mkuu..nirudi kujifunza jinsi ya kuwajua viumbe wanawake, niende jandoni kujifunza uanaume..ansante sana mzee..
 
unaijua LiFE CV ya VVU??

Kwanza, una umri gani? Labda naweza kuelewa unachoongea.

mkuu sijui kama umenielewa what did i mean "LIFE CV" wajua kusema ni simple, anyway nitatakiwa kuwa na mpenzi mwingine, swali hata kama hataniuliza lkn for sure.. you were married, what happened then? The mark...why did you divorce? Mkuu think twice on this....
 
Unalia CV yako kuharibika wakati mkeo hata haelewi hilo anapigwa jando live band kama ngwasuma pale msasani,watu wengine bana kusoma hamjui hata picha hamuoni,nshaachana na wanawake zaidi ya kumi na kwa upuuzi kama huo itakua ni hivyo tu mpaka kieleweke

Mkuu sijaongelea kusoma, sijui hii kusoma inatoka wapi au Mob pyschology inakusumbua? kuachana sio tatizo mzee, sijaweka past zangu, nimeongela MKE si wanawake, past zangu nazijua mwenyewe...niliamua kutulia kuwa na mwanamke.....lkn asante kwa ushauri mzee
 
bro yaliyokukuta si mageni hapa ulimwenguni. binafsi ilinitokea, mwanamke akishadanganywa( ndivyo ilivyokuwa) anasahau kila jambo ulilomfanyia, wema na hata hisani yako kwa wakati huo hakuna, na maadam amekutamkia mwenyewe kuwa alikuwa aje muachane, nakushauli fanya taratibu za vikao vya suruhu ili iwe kinga kwako, huyo hana safari ndeefu. hata mimi nilimpenda mwenzangu ile kupenda ilivyo, na niliumia sana aliponifanyia ya kunifanyia, sikujua kama iko siku nitamsahau, bro maisha yapo na yataendelea hata bila yeye, hakuna penzi la LAZIMA, huyo kwa sasa wewe anakuona kama tambara la deki. piga moyo konde umeze shubiri UTASAHAU TU. ni kweli umempenda lkn yeye sasa hakupendi ukimng'ang'ania aweza kukupa hata sumu ili kupunguza udhia ili aendelee na huyo mtu wake. FANYA TARATIBU ZA SULHU IKISHINDIKANA TUA MZIGO.
 
Drogba bado analalamika China tu

bora niondoke hapa, ntamwaga radhi bure.

Asprin na Bishanga, mko wapi, leo mechi wapi??

naona kama husaidiki vile,yaan una argument za kitoto,eti ana reflection ya marehemu mama,hakyanani huyo alishakuroga pia.Ngoja tuongee vitu vya msingi...Hivi Drogba ameshaenda Liverpool
 
Last edited by a moderator:
Sitaki kuamini kama bado kuna wanaume wa dizain yako ulimwengu wa leo.Skia mkuu navojua mimi wewe una mawenge ya mapenz na umeelemewa haswa kias kwamba ubongo wako hautaki kukubali kwamba unachofanyiwa si sahihi.Mh alaf kwa mastori ya dizain hii bado vijana eti tutamani kuoa?To hell.Achana na mambo ya cv,status,hadhi,heshma,weka pemben mwache mwanamke huyo hakupend.At the end of the day Mungu si mjinga kihvo hata kama iman yako hairuhusu kutoa talaka.Mambo mengne ni MAPOKEO tu syo sheria za Mungu.Mwache huyo ibilisi.Ah nimeumia kama imenitokea mimi vile

Yes To HELL, well said mzee, mkuu usiombe ikutokee kama mie hapa, sio mtumiaji wa kinywaji au kilevi chochote hivyo am BURNING softly inside ndugu yangu, kama ningekuwa sio understanding man basi ningeanza hata kupata mbili moja baridi lkn sipo kwa hivyo vitu...
 
Mkuu Magulumangu much respect. Naelewa kabisa what you are going through.....kwamba umewekeza kila kitu kwa mtu uliyemwamini na kumpenda muda wote huo just kwa yeye kukufanyia hivyo alivyofanya, mbaya zaidi ukimjua kabisa alitecheat naye na malengo yao

sasa niseme kuwa wewe sio wa kwanza kutokewa na haya...wengi wetu yametutokea tunakuwa tunadhani tunapendwa kumbe hapana ni maigizo tu na siku ya siku, ndo unapewa live za uso kama hivi bila KUJALI umewekeza moyo, hisia, akili, mali na kila kitu kiasi gani. shi.t happens

Cha kufanya mpe atakacho, hawezi kuwa kama marehemu mama yako mkuu,,,,mwombee mama alale mahali pema lakini kwa hili, hapana. Mwache, hata kama itabidi kubaki mseja, ni nafuu zaidi kuliko kujidanganya unampenda asiye kupenda, wanasema kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport!

Mwache.....mwache aende kwa amani, na huko ataweza kupata anachodhani kwamba anakikosa kwako. Naye Mungu ameona lalamiko lako, hakika sikitiko lako limefika hadi mbinguni, atakuwa amekusikia...mwachie yeye Aamue kati yako na yeye......

Kila la heri mkuu.....
 
Last edited by a moderator:
unaijua LiFE CV ya VVU??

Kwanza, una umri gani? Labda naweza kuelewa unachoongea.

Mkuu am 33 for now, put on your shoes with this, sio kwamba sijafikira I did, even a lot did, nimeuliza friends, Phd Holders, Msc holders, Bsc holders, and so many chassing their dreams...niko na marafiki ambao wamenishauri mingi sana on this, most wamething in a postive ways, wananijua kwa sana tu, na wanamjua kwa sna tu, mkuu what if she comes back and am not the one to afford seing her cries.....for sure she will come with excuses...HIV kuambukizwa sio rahisi, I do test and she knows won't meet her kimwili before we test....
 
naona kama husaidiki vile,yaan una argument za kitoto,eti ana reflection ya marehemu mama,hakyanani huyo alishakuroga pia.Ngoja tuongee vitu vya msingi...Hivi Drogba ameshaenda Liverpool

Ndo zetu Watz twakimbilia kurogana, siko mpenzi wa Mpira so sorry, by the way Thank you for the help ingawa umeona haisaidiki may be will work...
 
If you love your wife set her free. If she comes back to you, she is yours, if she does not come back she was not meant to be yours!

Mkuu kuna ka ukweli ndani yake, let her be free.....Tank you, je, nitamsamehe akija? na huo msamaha utakuwaje?
 
Mkuu Magulumangu much respect. Naelewa kabisa what you are going through.....kwamba umewekeza kila kitu kwa mtu uliyemwamini na kumpenda muda wote huo just kwa yeye kukufanyia hivyo alivyofanya, mbaya zaidi ukimjua kabisa alitecheat naye na malengo yao

sasa niseme kuwa wewe sio wa kwanza kutokewa na haya...wengi wetu yametutokea tunakuwa tunadhani tunapendwa kumbe hapana ni maigizo tu na siku ya siku, ndo unapewa live za uso kama hivi bila KUJALI umewekeza moyo, hisia, akili, mali na kila kitu kiasi gani. shi.t happens

Cha kufanya mpe atakacho, hawezi kuwa kama marehemu mama yako mkuu,,,,mwombee mama alale mahali pema lakini kwa hili, hapana. Mwache, hata kama itabidi kubaki mseja, ni nafuu zaidi kuliko kujidanganya unampenda asiye kupenda, wanasema kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport!

Mwache.....mwache aende kwa amani, na huko ataweza kupata anachodhani kwamba anakikosa kwako. Naye Mungu ameona lalamiko lako, hakika sikitiko lako limefika hadi mbinguni, atakuwa amekusikia...mwachie yeye Aamue kati yako na yeye......

Kila la heri mkuu.....

Mkuu thank you kwa ushauri wako, you took your time for me, niko kwa wakati mgumu sana ndugu yangu, the issue sio hivyo niloandika, she meant a lot to me, she did a lot to me, kuna wakati she did what no one could do for me...Ali invest pia kwangu lkn why should she do this?
 
Mkuu Magulumangu, pole aisee..ujue maishani tunapitia changamoto na mitihani mingi sana. Yaani kwa jinsi mke wako alivyokufanyia ni dhahiri hakupendi au ana hisia tena na wewe vinginevyo asingeweza kuwa na ghadhabu ya kukujibu alivyokujibu na tena ukakutana na huyo mwanaume...Uamuzi uu mkononi mwako maana inaelekea unampenda sana mke wako..
Yegomasika naomba ulete ushauri wako pia hapa..hili suala ni tata sana!!
 
Last edited by a moderator:
Hii CV ndio sijaielewa bado
Heshima yako inakanyagwa live
sasa CV ya nini hapo?

Mkuu life cv ni hivi, ukioa au sio halafu unaachana na mkeo tayari kuna swali hapo, kama utakutana na mwingine ambalo ni kwa nini uliachana na mkeo wa kwanza?
 
Kuna mambo ambayo yanavumilika, ila kwa hili heri lawama kuliko fedheha! Liwalo na liwe, ningekuwa mimi ngempiga chini fasta, CV ina umuhimu gani wakati mtu ananidhalilisha na kunivua nguo kiasi hiki? Ananidhalilisha na kunifedhehesha namna hii? Ananitukana mbele ya jamii? Abadani asilani, sikubali!
 
Back
Top Bottom