Je Mkapa Umeona jinsi wanaigunga tunaichukia CCM yako?

Jun 8, 2011
52
19
Ingawaje niko nje ya nchi lakini nikiri wazi kuwa mimi nina asili ya Igunga, niliwahi kusema wazi kuwa wanaigunga hawampendi Rostam Azi wala CCM, nikabishiwa sana lakini sasa naona hata Mzee Mkapa ameona jinsi gani sisi wanaigunga tusivyoipenda CCM yako? TUMECHOKA NA MAGAMBAZ, najua kama ulivyojiapiza Mzee Mkapa kuwa "piga ua galagaza mtashinda" NASEMA HIVI MSHINDI WA CCM NI DR KAFUMU ILA MSHINDI WETU WANA IGUNGA NI MWALIMU JOSEPH KASHINDE, pole Igunga , pole Tanzania!
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,786
Toka hapa na visingizio vya ingawa mmetufunga lakini chenga tumewala.Kama wana Igunga tungekuwa tunaichukia CCM si tungechagua CUF au UPDP?.CCM Oyeeee!
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
CCM wanajua hawapendwi na ndiyo maana wakaamua kusema wanajivua gamba .Wanaujua ukweli na kazi ni kubwa sana .Idadi kubwa ya vijana hawana kazi wala elimu na walio na bahati ya kusoma hawapewi haki kama watanzania .You just wait and see .Uchaguzi ujao utashuhudia maajabu zaidi .Leo wamekusanyana wooooooooote Igunga mwakani serikali za mitaa sijuui watakuwa wapi then 2015 .
 
MENDE JEURI

Senior Member
Apr 6, 2011
197
20
CCM wanajua hawapendwi na ndiyo maana wakaamua kusema wanajivua gamba .Wanaujua ukweli na kazi ni kubwa sana .Idadi kubwa ya vijana hawana kazi wala elimu na walio na bahati ya kusoma hawapewi haki kama watanzania .You just wait and see .Uchaguzi ujao utashuhudia maajabu zaidi .Leo wamekusanyana wooooooooote Igunga mwakani serikali za mitaa sijuui watakuwa wapi then 2015 .
craaap!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom