Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

Naomba kujua ni kitu gani kinachomfanya mwanamke akose nguvu baada ya kujifungua? Naomba msaada ndugu zangu
 
Habar zenu wana bodi! Naomba kuelimishwa je inawezekana kwa mwanamke mwenye ujauzito kupata period?swala lenyewe ni hivi mwanzoni mwa mwezi huu rafiki yangu yangu alipata mp nami sijakutana na tangu hapo juzi kaanza kujisikia tumbo linamuuma akaenda hospital akacheki utra sound haioneshi kitu akapima mkojo akaambiwa anaujauzito Sasa tumebaki dilema je hiyo kitu inawezekana?karibu wataalam.
 
Inawezekana lakini kwa Mwezi wa kwanza ule anapata Hedhi lakini isiyokuwa na damu nyingii na hapo wengi hudhani hawana Mimbaa Ila ikitokea mimba ishakuwa na miezi mitatu kuendelea bhasi ujue kuna tatizo so aende hospital. Pia itakuwa Ultrasound imeshindwa kuona sababu mimba bado ndogo mno lakini HCG hormone imezalishwa so UPT inadetect..
 
You nailed it. Big up
 
Ungetamka ulikutana nae lini na yeye amepata hedhi lini..hapo ndy panaeeza kuwa mwanzo WA kukusadia. Ila kwa biology ya form three haiwezekani unless kama left and right ovaries zilidondosha mayai siku tofauti kweny uterus hvo sperm ziligonga za awali ikabak ilyofuata..hii ni nadra sana na research hakuna ilyoconclude kuhusu hili.

Somtmz vaginal breeding ni infections sio mp..mchek vizur hospital!!!
 
Inawezekana lakini kwa Mwezi wa kwanza ule anapata Hedhi lakini isiyokuwa na damu nyingii na hapo wengi hudhani hawana Mimbaa Ila ikitokea mimba ishakuwa na miezi mitatu kuendelea bhasi ujue kuna tatizo so aende hospital. Pia itakuwa Ultrasound imeshindwa kuona sababu mimba bado ndogo mno lakini HCG hormone imezalishwa so UPT inadetect..
Ety kaka inawezekana kipimo cha UPT kisionyeshe ee?? Mm mwezi wa 7 niliingia period trh 5 had 9.... then siku za salama 10 hadi 14. Nikasex siku ndan ya siku zangu za hatar kwnzia trh 15... Sasa trh 30 mwez huo huo nikajikuta nmeingia period ghafla tu... Tarh moja nilienda hospital kucheck maan so kawaida yngu kuingia mara 2 kwny mwez 1... nkapima nkaambiwa na mimba... baada apo nkaenda tena ety wanasema cna mimba sasa apo jmn em nipeni mawaz ttz linawza kuwa nn😩😩😩😩
 
Fanya ultrasound upate uhakika kama ipo au haipo
 
Back
Top Bottom