Je, miwala, shira ni nini? Na mbona shira ya Zanzibar inasifiwa? Nisaidieni mi ni Mkenya kiswahili taabu huku

faoro

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
798
528
Msimbazi qwota ni wapi?

Shira ni nini?

Miwala ni nini?

Mbona shira ya Zanzibar inasifiwa?

Napenda saana nyimbo za Tanzania lakini kiswahili wakati mwingine balaa ...nsaidieni mi ni mkenya na kiswahili huku balaa kidogo.
 
Shira ni Sukari ambayo inakua inachanganywa na maji kidogo then inapikwa hadi inakua ktk molten state (rojorojo) .Wanaitumia kuiweka ktk vyakula kama vile Visheti , Kaimati na Donuts
20210206_124500.jpeg
20210206_124443.jpeg
 
Hakuna kumuambia maana huyu ubaya ubaya tu,nyie si ndio mnakikandiaga kiswahili halafu mnasemaga hatujui kingereza
 
Hakuna kumuambia maana huyu ubaya ubaya tu,nyie si ndio mnakikandiaga kiswahili halafu mnasemaga hatujui kingreza
Wewe ni nani tena yaani umetokea wapi Wakenya hatujui kiswahili sio siri wala hatufichi....ingawa tunakifahamu kama asilimia sitini hivi.
 
wee nnani tena ...yaani umetokea wapi...wakenya hatujui kiswahili sio siri wala hatufichi....ingawa tunakifahamu kama asili mia sitini hivi... Stupid
Na nyinyi TZ pia kizungu kidogo hutatiza ...sio siri ukweli na usemwe .
 
wee nnani tena ...yaani umetokea wapi...wakenya hatujui kiswahili sio siri wala hatufichi....ingawa tunakifahamu kama asili mia sitini hivi... Stupid
Kama hujui kiswahili utatafuta kamusi ili ujue maana ya neno linalofuata mwishoni mwa hii comment.Neno lenyewe ni wewe ni "pumbavu"
 
Back
Top Bottom