Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

Kwa mujibu wa koran, Mohamad ni muislam wa kwanza, na kabla ya Muhammad hapakuwahi kuwepo na huyo wanamuita Allah. Huyo ameumbwa kwenye mawazo yetu na Muhammad
Hivyo kabla ya Muhammad hapakuwepo na uislam.
According to several passages in the Quran, Muhammad was the first Muslim:

Say: Shall I choose for a protecting friend other than Allah, the Originator of the heavens and the earth, Who feedeth and is never fed? Say: I am ordered to be the first to surrender [aslama] (unto Him). And be not thou (O Muhammad) of the idolaters. S. 6:14 Pickthall

Say, verily my Lord hath directed me into a right way, a true religion, the sect of Abraham the orthodox; and he was no idolater. Say, verily my prayers, and my worship, and my life, and my death are dedicated unto God, the Lord of all creatures: He hath no companion. This have I been commanded: I am the first Moslem (Wa 'Ana 'Awwalu Al-Muslimin). S. 6:161-163 Sale

He hath no associate. This am I commanded, and I am the first of the Muslims. S. 6:163 Rodwell

Say (O Muhammad): Lo! I am commanded to worship Allah, making religion pure for Him (only). And I am commanded to be the first of those who are muslims (surrender unto Him). S. 39:11-12 Pickthall

Kwa upand mwingine ukristo ni mwendelezo wa Dini iliyoanzia Eden. Na Yesu alisema hakuja kutengua bali kuendeleza
Moja kati ya magreat thinkers humu Jf
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Huu ni uongo.Manabii wote walikuwa watunza sabato.Na destuli hii wameitoa kwa MUNGU mwenyewe(mwanzo 2:1-3).Angalia baadhi tu ya manabii;
*Musa-KUTOKA 20-8-11)
*NEHEMIA 9:14
*ISAYA-ISAYA 58:13)
*YEREMIA-YEREMIA 17:17-22
*EZEKIEL 20:20
*AMOSI 8:5
*YESU-LUKA 4:16
*PAULO-MATENDO 17:2
*WATU WA MUNGU-WAEBRANIA 4:9
*QR 2:65,16:124,4:154,n.k
*KWA KIFUPI:MANABII WOTE WALIKUWA WATUNZA AMRI ZA MUNGU NA UKISIKIA AMRI ZA MUNGU BASI NI AMRI KUMI IKIWEMO NA AMRI YA NNE YA KUITUNZA SABATO ZINAZOPATIKANA(KUTOKA 20;3-17).HATA IBRAHIMU ALIKUWA MTUNZA AMRI PIA (MWANZO 26:5).MKIACHA HIZO PROPAGANDA,NYOOOTE MNATAKIWA MRUDI KWENYE IMANI ILIYOANZISHWA NA MUNGU MWENYEWE.SHIKENI AMRI ZA MUNGU,NA UKUSHIKA AMRI ZA MUNGU ZOTE BASI LAZIMA UWE MSABATO.UKIIACHA HATA AMRI MOJA BASI UJUE UMEKOSA JUU YA AMRI ZOTE(YAKOBO 2:10-11).BARIKIWA.
 
Ubarikiwe sana
 
Hata wewe ukijifunza dini nyingine vizuri kwa mtazamo huru utaiacha hiyo dini yako yenye stori za kusadikika.
Moja ya masikitiko niliyonayo kwa ndugu zangu wegi waislam na wakristo din hiz asilimia 98 tumerithishwa na wazazi wetu na baada ya kurithishwa tukaigia deep na mafundisho au wegine hamkujifunza kabisa na matokeo yake ndio haya ya hoja amnazo hazina mashiko mtu anajoji kitu ambacho hata ukimpa jibu nalo hataliamini...ushauri wangu mkubwa kwenu tusomen hiz din tukiwa na mawazo na fikra huru utauona ukweli unatakiwa uhoji vitu bila uoga kwa kumuudhi Mungu maana wengi ni waoga wa kuhoji maandiko wakihofu ni maneno ya Mungu unatakiwa uhoji maswali magumu had upate ukweli...ili pamoja na iman yako ukishapata majibu utakuwa hiyo iman uliyonayo umeichagua na sio kurithishwa na kuja kutukana iman za watu humu...somen dini na din sio mbili zipo nyingi sana dunian na msiishie kwenye vutabu tu somen had history za iman zenu kupitia vyanzo sahihi ambavyo havuegamii upande wowote..maswali mengi ya humu na hoja unaona watu hawana elimu juu ya haya mambo au elimu waliolishwa sio sahihi..!
 
Hakujawahi kuwa na nabii wa kike kama Dada White
Huu ni uongo.Manabii wote walikuwa watunza sabato.Na destuli hii wameitoa kwa MUNGU mwenyewe(mwanzo 2:1-3).Angalia baadhi tu ya manabii;
*Musa-KUTOKA 20-8-11)
*NEHEMIA 9:14
*ISAYA-ISAYA 58:13)
*YEREMIA-YEREMIA 17:17-22
*EZEKIEL 20:20
*AMOSI 8:5
*YESU-LUKA 4:16
*PAULO-MATENDO 17:2
*WATU WA MUNGU-WAEBRANIA 4:9
*QR 2:65,16:124,4:154,n.k
*KWA KIFUPI:MANABII WOTE WALIKUWA WATUNZA AMRI ZA MUNGU NA UKISIKIA AMRI ZA MUNGU BASI NI AMRI KUMI IKIWEMO NA AMRI YA NNE YA KUITUNZA SABATO ZINAZOPATIKANA(KUTOKA 20;3-17).HATA IBRAHIMU ALIKUWA MTUNZA AMRI PIA (MWANZO 26:5).MKIACHA HIZO PROPAGANDA,NYOOOTE MNATAKIWA MRUDI KWENYE IMANI ILIYOANZISHWA NA MUNGU MWENYEWE.SHIKENI AMRI ZA MUNGU,NA UKUSHIKA AMRI ZA MUNGU ZOTE BASI LAZIMA UWE MSABATO.UKIIACHA HATA AMRI MOJA BASI UJUE UMEKOSA JUU YA AMRI ZOTE(YAKOBO 2:10-11).BARIKIWA.
 
Hawezi kukupa majibu zaidi ya majibu ya kufikirika
Chanzo Cha habari hizi umezipata wapi???

Kwanza tujibu uislamu ni nn??

pili mbinguni na motoni pia Ni wapi??

Kwa mujibu wa Quran inadai mbinguni Kuna mabikira 70 je huko mbinguni baada ya maisha ya duniani tunaenda tena kuwatom...a hao mabikira??

Maana dhumuni la tendo la ndoa ni kuendeleza vizazi

Nijibu hayo tuu na unipo chanzo Cha majibu yako sio unijibu majibu ya kufirika
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.

Uislam wa enzi za Adam (Kabla ya Muhammad) walikuwa wanatumia maandiko gani? Qur'an au Kitabu gani?.....
 
Sijaona mkristo hata mmoja aliyejibu swali ikiwemo wewe pia?
Sasa kama hakuwa muislam alikua dini gani??
Vilevile maana ya uislam bado hujaielewa maana watu wamefafanua
kwamba uislam ni kitendo cha kujisalimisha kwa muumba wako mbona tafsiri yenyewe iko madhubuti na inaeleweka
Hiyo tafsiri yako ina elements za conspiracy. Mtu ameamua kujisetia ka fomula kupitia mfumo wa kiasili ambao upo siku zote kwa ajili ya kuwalazimisha wengine wakubaliane na imani yake

Ni sawa na mimi hapa nianzishe dini iitwayo "kuzaliwa" halafu nikattumia conspiracy ya mfumo kama hiyo kwamba hata muhamad hakua muislam alikua ni muumini wa dini ya "kuzaliwa" kwasababu naye alizaliwa

Kwa conspiracy hiyo utajikuta watu wote bilion 7.8 na umewalazimisha waonekane ni wafuasi wa dini yako

So kusema uislamu ulikuwepo eti kwasababu kitendo cha kunisalimisha kilikuwepo hiyo ni fallacy. Inawezekana kujisalimisha kulikuwepo kabla ya uislam na ma-founder wa uislam wakachukulia hiyo kama advantage ya wao kutengeneza conspiracy
 
Wote walikuwa waislamu na kazi yao kubwa ilikuwa kumtangaza Mungu mmoja na mtume wake.Mfano kipindi cha Musa walikuwa wanasema La Ilaah Il Allah ,Musa Rasululah, Ibrahimu LA ILLAH ILALLAH ,IBRAHIM RASULULAH, kipindi hiki cha Muhammad tunasema LA ILLAH ILALLAH MUHAMMAD RASULULAH.
Full of conspiracy

So hata mfalme ngurumo tuliyemsoma primary alipo sema laah laah laah baada ya kupipgwa sindano na ng'e, hiyo inamaaniaha mzee ngurumo alikua muislam na pale alikua anamtaja allah?
 
Uislamu una miaka 1500 tangu uanzishwe.
Ukristo una miaka zaid ya 2000 tangu uanzishwe.

Lakin Ukristo una misingi ya Dini ambayo ilikuwepo tangu enzi na enzi. (Mwendelezo wa Dini za kiyahudi).

Ni mwendelezo tu, ingawa kuna mising watu wa karne hii wameitoa /kuimodify.

Uislam una ukristo ndan yake wakatibUkristo hauna uislam ndan yake.

Zote ni Dini zinazoamin Mungu mmoja.

Ingawa kwa matoleo tofauti tofauti
 
imani hapa duniani zina ogezeka kila siku ila siku ya mwisho ukweli uta julikana . maisha ya duniani ni mafupi sana
 
Soma amri. Kumi za mungu akili yako ikiwa free utagundua kuwa walikuwa waislam. Waislam ndio wamekatazwa kumuabudu asiye kuwa muumba,wamekatazwa kuchonga sanamu wakristo wanayo masanamu
 
Soma amri. Kumi za mungu akili yako ikiwa free utagundua kuwa walikuwa waislam. Waislam ndio wamekatazwa kumuabudu asiye kuwa muumba,wamekatazwa kuchonga sanamu wakristo wanayo masanamu

Amri ya ngap hiyo?.

Wakristo hawaabudu sanamu
 
Mwenyezmungu ametuma Mitume wote 124,000 ila 25 ndio waliotajwa kwa majina ila wote waliotumwa dunian walikuja kufundisha dini moja ya kumuabudu Mungu mmoja na kujusalimisha kwa Mungu wao...mafundishi yote ya manabii msingi wange ndio huo...kuwaita watu kujisalimisha kwa Mungu wao na kumuabudu yeye pekee na kufata aliyo yaagiza kitendo hicho kwa lugha ya kiarabu kinaitwa ISLAAM...neno ISLAAM linatokana na mzizi neno SILIM maana yake kujisalimisha pia linatokana na mzizi neno salam maana yake amani...so mitume wote kuanzia adam had Muhhamad walifundisha aman na kujisalimisha kwa MwenyezMungu.!..

Ukristo ni neno lulitokana wahayahud kuwatambulisha wale waliokuwa wanafata mafundisho ya Yesu ambao wayahud wengi wakimktaa so wale walikuwa wanafata mafumdisho yake waliitwa wafuasi wa masihi ambayo hiyo masihi ikatafsiriwa kwa kigiriki kama kristos na baadae kwa kingereza kama crirst..ndio maana tafuta bible zote na vitabu vyote hakuna mahali Yesu amehubuiri Ukristo au kutamka hilo neno sababu neno hilo limekuja miaka 300 baada ya yeye kuondoka na limetokana jina lake na yeye hakuja na dini mpya...kama alivyosema amekuja kutekeleza yaliyopita na sio kuyavunja au kuyabadili.!
Yaani watu mnapojibu story za mungu naliulizaga ni nyie au yeye ndio anazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimu. Swali lako limejikita katika dinii naomba nikujibu kwa mujibu wa Kitabu na sunna.(Qur'an na hadith)

Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa uislam umeenzaa kwa nabii Adam kuendelea, isipokuwa wakati anakuja naabii Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yake) umma ulikuwa umepotea na kuuacha uislamu hivyo ktk kipindi kile uislamu ulishasahaulika na watu. Hata hivyo watu walee walikuwa wanaabudu masanamu.

Sasa mtume alivyokuja kuwaita watu katika uislamu, umma ule ukawa haujui kabisa uislam na ndiyo maana wakamuwekea vipingamizi vizito mtuu juu ya itikadi anayoitangaza,

Kwa kauli nyepesi tunasema mtume alikuja kufufua uislam katika umma ambao uislamu ulipokufa.

Kuhusiana na manabii na mitume wote waliopita walikuwa waislam ushahidi tunaupata kwenye Qur'an.
Hizi pumba ndo watu wamezimeza!! Siku zote nasema Elimu ni bora kuliko kukimbilia madrasa. Uislam umeanzishwa na muhamad karne ya 7BK alafu wew unakuja na pumba ulomezeshwa na shehe wako et hata adam na eva walkuwa waislam. Elimikeni
 
Uislamu una miaka 1500 tangu uanzishwe.
Ukristo una miaka zaid ya 2000 tangu uanzishwe.

Lakin Ukristo una misingi ya Dini ambayo ilikuwepo tangu enzi na enzi. (Mwendelezo wa Dini za kiyahudi).

Ni mwendelezo tu, ingawa kuna mising watu wa karne hii wameitoa /kuimodify.

Uislam una ukristo ndan yake wakatibUkristo hauna uislam ndan yake.

Zote ni Dini zinazoamin Mungu mmoja.

Ingawa kwa matoleo tofauti tofauti
Si kwamba uislamu una UKRISTO ndani yake, ila uislamu una mafundisho ya YESU ndani yake,km miongoni mwa mitume wa mwenye enzi Mungu na HAKUFUNDISHA UKRISTO.Ukristo ni matokeo ya KANISA.
Yesu alifundisha juu ya kumcha mwenye enzi mungu 1 asiye na mshirika,ambaye hajazaa wala kuzaliwa na asiyefanana na kiumbe chochote
UKRISTO(KANISA) uka introduce mafundisho mengine yaliyokinzana na alichofundisha YESU.
So,to be clear usichanganye UKRISTO na YESU.
 
Back
Top Bottom