Je mitihani inaongeza uelewa kwa mwanafunzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mitihani inaongeza uelewa kwa mwanafunzi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAGL, Mar 29, 2011.

 1. G

  GAGL Senior Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kumekuwa na tabia hasa kwa shule za hapa dar kwa walimu kuwapa mingi mitihani wanafunzi wao ambayo inalipiwa. Sijui kama hii inalenga kuboresha elimu au ni miradi ya walimu kujazia bajeti zao. Nionavyo mimi hii inachangia sana kuwafanya wanafunzi wasomee mtihani na hivyo kupoteza muda mwingi kusolve past papers badala ya kusoma vitabu.
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mitihani inapima tu, inabidi tuondoe dhana ya kusoma past papers ama kusoma kwaajili ya mitihani. Mtu akisoma kujibu maswali hata kuwa mzuri kwenye kujifunza concepts ama kuja kuwa mgunduzi. Atakuwa ni mtu wa kukariri tu. Ndiyo maana mitihani si njia pekee ya kupima uwelewa wa mtu.
   
Loading...