Je, milioni 35 nizi-invest katika biashara ipi kati ya hizi?

BIASHARA NYINGINE NZURI NI YA NG'OMBE
hii biashara bwana inalipa sana asikwambie mtu.
kuna watu wananunua ng'ombe waliokondoena kwa laki 2 mpaka 2.5 kisha wanakuja kuwanenepesha kwa miezi miwili mitatu wanakuja kuwauza laki 5 mpaka zaidi.
Kama una eneo/shamba Jenga Banda tafuta kijana Ajiri kisha Fanya hili wazo kwa vitendo,Kumiliki Pesa maburungutu ni simple sana.

Ukiingia kwenye kilimo ili uone matunda ya kilimo chochote unachokitaka hakikisha hutegemei MVUA tenga 5m chimba kisima cha uhakika.

Chimba visima vya kuhifadhi maji utakayochota toka kisima ulichochimba...

Baada ya hapo uhakika wa maji utakua nao 24/7 Kifuatacho wewe usilime kuwafatsha wategemea mvua, wakati wao wanavuna wewe una Panda wakati wao wanaanza kuandaa mashamba wewe Unavuna.. Unapishana Nao.

The rest ni siri za kambi ingia mchezoni upige pesa usije na wewe ukaingia kwenye kundia wale raia wakiona kijana mdogo ana pesa wanamuita freemason.
 
Tembelea UAE kama wiki utembelee sehemu za biashara za kila aina kama ujenzi, phone, spare parts, used computers n.k

Baada utapata idea nyingi za biashara ba majibu mengi ya masuala yako

Kwa maelezo zaidi nitumie whatsapp message
00971527369138
 
Tembelea UAE kama wiki utembelee sehemu za biashara za kila aina kama ujenzi, phone, spare parts, used computers n.k

Baada utapata idea nyingi za biashara ba majibu mengi ya masuala yako

Kwa maelezo zaidi nitumie whatsapp message
00971527369138
OK kumbe namba hiyo ya whatsapp ni ya Uarabuni? Tutakutafuta, tuyajenge.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom