Watakuita mwana ccm sasai hapa, mijitu bange sanaMbeya almost wilaya nyingi inanyesha.MF Rungwe,mbeya mjn busokelo nk
Mkuu niunganishe na mm nilime huko.Mkuu...! wiki iliyopita nikikuwa shambani kwangu, Katavi-Mpanda-Kakese
Nimeshapanda Mpunga wangu, Mvua zinanyesha za kutosha, na kama zikikata, huwa tuna mito inayotiririsha maji throughout the year, ndani ni water pump zangu tatu!
Na mda huu nipo nyumbani kwangu naandaa chakula cha mchana (natumia akiba ya mwaka ulipita), mwenye njaa namkaribisha home, siku njaa ikiisha, atarudi nyumbani kwake.
sinaga choyo
Safi sanaa nafurahi kwa taarifa hii..Na Mkoa mpya wa Songwe na hasa Mbozi (wakulima wa mahindi, maharage nk) mvua inanyesha vizuri sana. Na kama wewe ni mvivu wa kulima usiende kipindi hiki mkoa wa Songwe na hasa Mbozi......NAMALA.
Mkuu umeuliza swali la maana watu wanakosea balaaHivi hilo baa la njaa linalosemwa linatokana na ukosefu wa mvua za msimu huu au?
Chunya imemegwa galula na mkwanyuni na upande huko ndio songwe..ila lupatingatinga,chunya mjini nk ni mbeyaChunya sio mbeya
Ni songwe
Wafugaji walikuwepo sana mbalali na chunyaWafugaji wakae hukohuko. Hawa ni watu waharibifu sana. Sasa hivi nchi inalia na uhaba wa chakula siyo nyama au ngozi.
Unapoingia mkoani Ruvuma kutokea Njombe kuna bango kubwa linasema ni marufuku kuingiza mifugo mkoani Ruvuma bila kibali. Wale waliojaribu walitimuliwa ma ngómbe wao.
Mvua hata mwaka jana baadhi sehem.mbeya ilichelewa kunyeshaMada hii inachangiwa kipuuzipuuzi
Ushabiki wakijinga namajibu ya kupika
mwaka huu mbeya....zimechelewa kupita maelezo
Hadi december 25 mvua za kubahatisha tena kurukaruks.
kawaida mvua huanza october au november mwanzoni
Ukifika mbeya.....tazama milima bado ipo wazi .....kuashiria uoto wa asili haujapata maji vema kuifanya iwe rvergreen
Acheni ushenzi....kupotosha wasioijuwa mbeya.
Mvua ya mwaka.juz kuelekea mwaka jana haikuwa.nzur aiseeMay 2016 mbeya mahindi 7000 -8000/debe
Jan 2017 mbeya mahindi 15000<= debe mashineni
ujazo ni ndoo ya Lita 20
Endelezeni siasa ....ukweli hali sio nzuri
Mchele bado mbeya bei haijaathilika sana
Ah ah ah ah inaitwa kibanoSiongei na mapunga mm, naongea na watu wenye akili zao,
etiWengi kwenye uzi huuu mnajitekenya wenyewe
We naye unatuchanganya kulingana na takwimu za waziri wa kilimo ni kuwa mwaka jana ndio kulikuwa na mavuno mengi ambayo hayajawahi tokea tangu uhuru!! Unaposema eti pesa ndio imekosekana na sio chakula sio kweli ni mwaka gani debe la mahindi limetoka wastani wa shilingi 6000 hadi 18000?? Ina maana hata ingekuwa ni kipindi cha kikwete wangapi wange weza mfumuko huo wa bei?! Acha kupotosha vitu, eti pesa ndio imepotea ingekuwa hivyo bei ya mahindi ingekuwa ni ile ile 6000 sababu yako ingekuwa na mashiko. MCHUMI mwingine anasema eti hakuna njaa masoko yote yamejaa vyakula, bila kuangalia je hizo bei wangapi wanaziweza kwa sasa. Au ndio kile alichosema lisu kuwa mna i define njaa kutoka vitabuni kuwa ni ukosefu kabisa wa chakula!??Mvua ya mwaka.juz kuelekea mwaka jana haikuwa.nzur aisee
Kwa upande wa mkoa mbozi mahindi hawakupata.sana km mwaka uliopita kabla ya huo na.ndio mahindi.bei juu kwa sasa
Ukizingatia na mzungo wa pesa ulivyo mgumu ndio mana watu wanalia njaa kumbe njaa niyapesa
Ukame huu hauna impact yeyote kwa vilio vya sasa vya njaa kwasababu huwa hatuli MIGAGI wala mazao mateta
Na.kila mwaka miez ya kilimo kama hii huwa mazao ni.bei ya juu kwasababu sio.kipindi cha mavuno
Nchi haina njaa serious ila njaa yaja kama kweli ukame upo sehem kubwa ya nchi
Morogoro na tanga ni vipi mkuu
Mimi naongea kama mkulima wa mbeya na songweWe naye unatuchanganya kulingana na takwimu za waziri wa kilimo ni kuwa mwaka jana ndio kulikuwa na mavuno mengi ambayo hayajawahi tokea tangu uhuru!! Unaposema eti pesa ndio imekosekana na sio chakula sio kweli ni mwaka gani debe la mahindi limetoka wastani wa shilingi 6000 hadi 18000?? Ina maana hata ingekuwa ni kipindi cha kikwete wangapi wange weza mfumuko huo wa bei?! Acha kupotosha vitu, eti pesa ndio imepotea ingekuwa hivyo bei ya mahindi ingekuwa ni ile ile 6000 sababu yako ingekuwa na mashiko. MCHUMI mwingine anasema eti hakuna njaa masoko yote yamejaa vyakula, bila kuangalia je hizo bei wangapi wanaziweza kwa sasa. Au ndio kile alichosema lisu kuwa mna i define njaa kutoka vitabuni kuwa ni ukosefu kabisa wa chakula!??
Mkuu kama.kyela.na.mbalali hakuna mvua basi.ubwaubwa utakuwa gharama kubwa sana..Mvua inanyesha mbozi. .rungwe. ..mbeya mjini.. .kyela jua Kali Mpaka huruma.. .mbalali Ndio jangwa kabisa