Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
Mungu anakuona ujue. Huu uongo unamtumikia nani?Njombe pia inapiga mpaka basi yaani,mm ndo npo huku.
Mungu anakuona ujue. Huu uongo unamtumikia nani?Njombe pia inapiga mpaka basi yaani,mm ndo npo huku.
Mbeya vijijinMbeya ya wapi kwenye mvua mkuu???
Mkuu kuna mikoa hamna mvuaKulingana na uzi huu inaonyesha maeneo mengi mvua ipo,wanaosema kuna ukame ni wachochezi.
Hivi pia kwanini wafugaji wasihamie hiyo mikoa mbona majani ni mengi na ardhi nyingi ipo idol, wao wanakomaa huko dodoma, simanjiro, manyara wakati ni kukame sana
Mkuu...! wiki iliyopita nikikuwa shambani kwangu, Katavi-Mpanda-Kakese
Nimeshapanda Mpunga wangu, Mvua zinanyesha za kutosha, na kama zikikata, huwa tuna mito inayotiririsha maji throughout the year, ndani ni water pump zangu tatu!
Na mda huu nipo nyumbani kwangu naandaa chakula cha mchana (natumia akiba ya mwaka ulipita), mwenye njaa namkaribisha home, siku njaa ikiisha, atarudi nyumbani kwake.
sinaga choyo
Kumbe unasikia tu, ila tulioko huku ndio tunaona ...NI MBEYA IPI HII??????
MAANA NASIKIA SERIKALI YA MKOA WA MBEYA IMEPIGA MARUFUKU KULIMA MAHINDI KWA SABABU MAJAMBAZI WANAJIFICHA KATIKA MAHINDI, HIVYO LIMENI MAHARAGWE TU NA MAZAO AMBAYO HAYAZIDI UREFU WA FUTI MOJA KWENDA JUU.
We ndio mshenzi mkuu , uachage kukurupuka. Umeulizwa mvua ipo au haipo? Wacha porojo za imechelewa au imewahi nani kakuuliza?Mada hii inachangiwa kipuuzipuuzi
Ushabiki wakijinga namajibu ya kupika
mwaka huu mbeya....zimechelewa kupita maelezo
Hadi december 25 mvua za kubahatisha tena kurukaruks.
kawaida mvua huanza october au november mwanzoni
Ukifika mbeya.....tazama milima bado ipo wazi .....kuashiria uoto wa asili haujapata maji vema kuifanya iwe rvergreen
Acheni ushenzi....kupotosha wasioijuwa mbeya.
We ndio mshenzi mkuu , uachage kukurupuka. Umeulizwa mvua ipo au haipo? Wacha porojo za imechelewa au imewahi nani kakuuliza?
Wewe uko mbeya ipi isiyo na mvua? Acha uongo na uzandiki ndugu haukusaidii na hautakulipa chochote! Angalia picha hii hiyo ni mbeya.Wote mlio comment kwenye mada hii mpo kisiasa zaidi.Mbeya mvua ni shida,kyela hakuna mvua
Unajishushia heshima kujibizana na kaka poa wa lumumbaImekuuma.....mtakufa kwa kutetea ujinga na ccm yenu
mimi niko mbeya...nani mshenzi kama sio wewe!
Ruvuma ipi aisee maana nilipo kila siku MvuaRuvuma bado mvua zinasuasua.
We ndio mshenzi mkuu , uachage kukurupuka. Umeulizwa mvua ipo au haipo? Wacha porojo za imechelewa au imewahi nani kakuuliza?
Nipo Songea joh. umesema kila siku? vipi jana na leo?Ruvuma ipi aisee maana nilipo kila siku Mvua
Hiv jamani kuna mtu anaeleza habari ya ccm au chadema hapa? Nahic Kuna watu wanakunywa gongo humu walahi !!Imekuuma.....mtakufa kwa kutetea ujinga na ccm yenu
mimi niko mbeya...nani mshenzi kama sio wewe!
Mbeya almost wilaya nyingi inanyesha.MF Rungwe,mbeya mjn busokelo nkWote mlio comment kwenye mada hii mpo kisiasa zaidi.Mbeya mvua ni shida,kyela hakuna mvua