Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Kwa mimi ninavojua , njaa hasa inaweza kutokea endapo hii mikoa niliyotaja hapo ambayo huwa haikosi mvua kabisa ikikosa mvua. zaidi ya asilimia 80 ya chakula kinachozalishwa tanzania kinatoka katika mikoa tajwa hapo juu.
Mi nipo daslamu na sijaenda huko muda mrefu, embu mliopo huko tusaidizane,je katika mikoa hiyo ni kweli hamna mvua, na kama ni kweli basi kweli njaa itakuja tena njaa kweli.
Wenye takwimu mtuambie kama hiyo mikoa nayo haijapata mvua, kwamaana isipopata mvua hata mgao wa umeme utakuja, kwa maana mabwawa yote makubwa yanajazwa na mva za maeneo hayo, KIHANSI, KIDATU, MTERA ,460MW