Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

Wakuu za asubuhi !
Wadau mimi binafsi ninaona ipo possibility kubwa ya kuja kuifreez account ya kumchangia Tundu Lissu kwa maagizo kutoka juu ! Je mnadhani hilo linawezakana kufanyika? Nini kifanyike kwasasa ? Ikitokea hivyo hatua gani zichukuliwe kwa aliye athirika na maagizo hayo toka juu? Karibuni kwa mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza kama nilivyo waza.Manake chuki kwake si ya dunia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom