Uchaguzi 2020 Je, Membe katumwa na viongozi wandamizi wa awamu zilizopita au katumwa na nani?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,637
1,863
Kila awamu ilifanya mema na mabaya. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa katika awamu yake yako mema amefanya na yako mabaya amefanya pia. Akashauri kuwa unachukua mema unayandeleza mabaya unayaacha.

Sisi wananchi tumeshuhudia mema na mabaya ya kifanywa na awamu zote. Lakini ziko awamu zilibugi kupita kawaida. Na moja ya awamu ilibugi sana ni awamu aliyohudumu mh Membe akiwa waziri. Rushwa, ufisadi, Wanainchi kunyanyaswa wakienda ifisi ifisi za umma ilikuwa kawaida sana kiasi cha CCH kuitwa chukua chako mapema.ukisema wewe ni CCM ulionekana jambazi Fulani.

Yapo mengi yalikuwa yanatia hasira kiasi cha kwamba mpaka nchi majirani walituona sisi watanzania kama hamnazo kabisa kusema kuwa ni nchi maskini. Mfano ni rais wa Rwanda alithiriki kusema kuwa akipewa bandari ya Dar es salaam anaweza kuilisha Tanzania kama sio Afrika nzima.

Katika hoja za Mh Membe ni kwamba eti katika awamu zote NNE rais mpya anaheshimu watu aliyowakuta na anaongezea wa kwake kidogo. Kilichomuudhi eti kwa nini anasema kulikuwa na watu wa hovyo na mambo ya hovyo na nchi ilifanywa kuwa shamba la bibi.

Swali ni je anayoyasema Mh rais ni uongo? Makinikia yalibwebwa,twiga walibwebwa,bandarini mita feki,IPTL capacity charges za hovyo, Richmond,watu kutolipa kodi,vyeti feki,wafanyakazi hewa, miradi mingi kubinafsishwa hovyo nk. Sasa kama kulikuwa na mambo ya namna hii na yanafanywa na watu waliyoko serikalini na watu wa awamu zilizopita ulitaka mh rais afanyaje kwa mfano?

Unasema eti hamna Uhuru wa kujieleza mie sijaelewa ulitaka wapewe Uhuru was kutukana watu?wanasiasa wa vyama vya upinzani kuandamanisha watu kila kikicha?

Swali ni je kwa sababu maovu ya awamu zilizopita yaliwekwa bayana,na unajua utaratibu wa CCM rais aliyeko madarakani anaongoza kwa miaka kumi ,ni watu waliyohudumu awamu hizo ndiyo waliyokutuma kwamba umuondoe JPM iliwasiendeelee kuabishwa kwa kutokufanya vizuri katika uongozi wao? Na je ni wafanyabiashara wasiyolipa kodi na kuhujumu uchumi wamekutuma? Ni wenye vyeti feti na watumishi hewa wamekutuma? Ni nchi za mbali wamekutuma?kinachokufanya usisubiri hadi 2025 ni nini?umetabiriwa na mizimu kwamba lazima uwe rais before 2025?
 
Wewe hii tabia ya kutothamini demokrasia umeipata wapi? Kwa magu?
 
Mada hii ina ubahiri wa ukweli na imejaa uongo,na uongo ni sumu kubwa mno,ndugu Membe ni haki yake kuwa mwanachama au kutokua mwanachama wa chama cha siasa,kama ilivyo kwako na mimi,ni haki yake kuomba nafasi yeyote ya uongozi ili mradi akidhi vigezo vya nafasi hiyo;na pia elewa President Magufuri amekuwa waziri kwa almost kuanzia awamu ya pili hadi ya nne na hata siku moja hakutamka au kuonyesha kwake kukerwa na rushwa,kama kawaida ya politician alilinda tumbo lake,uuzaji wa kiholela wa nyumba za serikali,ukamataji wa ile meli ya uvuvi hizi ni baadhi ya mapungufu yake makubwa mno na hata ujenzi wa hizi barabara ni uchafu mtupu,barabara hizi nyingi zipo chini ya kiwango,na elewa kipimo cha maendeleo ya watu lazima kipimwe na hali ya wananchi wa nchi ,ikiwa ni pamoja na uhuru wa kila mwanachi kuishi bila ya woga,freedom of expression,freedom of speech etc etc.next time please andika mada yenye kuwa na sura mbili kinyume chake unapoteza hadhi yako mkuu.
 
Kila awamu ilifanya mema na mabaya. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa katika awamu yake yako mema amefanya na yako mabaya amefanya pia. Akashauri kuwa unachukua mema unayandeleza mabaya unayaacha.

Sisi wananchi tumeshuhudia mema na mabaya ya kifanywa na awamu zote. Lakini ziko awamu zilibugi kupita kawaida. Na moja ya awamu ilibugi sana ni awamu aliyohudumu mh Membe akiwa waziri. Rushwa, ufisadi, Wanainchi kunyanyaswa wakienda ifisi ifisi za umma ilikuwa kawaida sana kiasi cha CCH kuitwa chukua chako mapema.ukisema wewe ni CCM ulionekana jambazi Fulani.

Yapo mengi yalikuwa yanatia hasira kiasi cha kwamba mpaka nchi majirani walituona sisi watanzania kama hamnazo kabisa kusema kuwa ni nchi maskini. Mfano ni rais wa Rwanda alithiriki kusema kuwa akipewa bandari ya Dar es salaam anaweza kuilisha Tanzania kama sio Afrika nzima.

Katika hoja za Mh Membe ni kwamba eti katika awamu zote NNE rais mpya anaheshimu watu aliyowakuta na anaongezea wa kwake kidogo. Kilichomuudhi eti kwa nini anasema kulikuwa na watu wa hovyo na mambo ya hovyo na nchi ilifanywa kuwa shamba la bibi.

Swali ni je anayoyasema Mh rais ni uongo? Makinikia yalibwebwa,twiga walibwebwa,bandarini mita feki,IPTL capacity charges za hovyo, Richmond,watu kutolipa kodi,vyeti feki,wafanyakazi hewa, miradi mingi kubinafsishwa hovyo nk. Sasa kama kulikuwa na mambo ya namna hii na yanafanywa na watu waliyoko serikalini na watu wa awamu zilizopita ulitaka mh rais afanyaje kwa mfano?

Unasema eti hamna Uhuru wa kujieleza mie sijaelewa ulitaka wapewe Uhuru was kutukana watu?wanasiasa wa vyama vya upinzani kuandamanisha watu kila kikicha?

Swali ni je kwa sababu maovu ya awamu zilizopita yaliwekwa bayana,na unajua utaratibu wa CCM rais aliyeko madarakani anaongoza kwa miaka kumi ,ni watu waliyohudumu awamu hizo ndiyo waliyokutuma kwamba umuondoe JPM iliwasiendeelee kuabishwa kwa kutokufanya vizuri katika uongozi wao? Na je ni wafanyabiashara wasiyolipa kodi na kuhujumu uchumi wamekutuma? Ni wenye vyeti feti na watumishi hewa wamekutuma? Ni nchi za mbali wamekutuma?kinachokufanya usisubiri hadi 2025 ni nini?umetabiriwa na mizimu kwamba lazima uwe rais before 2025?
Kwanini mnadhani ni serikali tu pekee yake ndio inajua "michezo"?

Mnaipa serikali na walio madarakani uwezo wa "kimungu"!

Watu walioko serikalini ni watu wenye IQ ndogo sana...sio kiivyo kama mnavyotaka kutuaminisha!

Maana tumesoma nao mashuleni,ni watu wajinga mno....they are not that capable bwana!
 
Maendeleo ya miundo mbinu za jamii na uchumi ndiyo tunayohitaji.Aidha,tafsri ya uhuru wa watu eti waropoke na kumtukana Rais haikubaliki. Wangoje awamu nyingine now we are bussy na maendeleo. Watu wengine wasitutoe kwenye mwelekeo shahihi.
 
Kila awamu ilifanya mema na mabaya. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa katika awamu yake yako mema amefanya na yako mabaya amefanya pia. Akashauri kuwa unachukua mema unayandeleza mabaya unayaacha.

Sisi wananchi tumeshuhudia mema na mabaya ya kifanywa na awamu zote. Lakini ziko awamu zilibugi kupita kawaida. Na moja ya awamu ilibugi sana ni awamu aliyohudumu mh Membe akiwa waziri. Rushwa, ufisadi, Wanainchi kunyanyaswa wakienda ifisi ifisi za umma ilikuwa kawaida sana kiasi cha CCH kuitwa chukua chako mapema.ukisema wewe ni CCM ulionekana jambazi Fulani.

Yapo mengi yalikuwa yanatia hasira kiasi cha kwamba mpaka nchi majirani walituona sisi watanzania kama hamnazo kabisa kusema kuwa ni nchi maskini. Mfano ni rais wa Rwanda alithiriki kusema kuwa akipewa bandari ya Dar es salaam anaweza kuilisha Tanzania kama sio Afrika nzima.

Katika hoja za Mh Membe ni kwamba eti katika awamu zote NNE rais mpya anaheshimu watu aliyowakuta na anaongezea wa kwake kidogo. Kilichomuudhi eti kwa nini anasema kulikuwa na watu wa hovyo na mambo ya hovyo na nchi ilifanywa kuwa shamba la bibi.

Swali ni je anayoyasema Mh rais ni uongo? Makinikia yalibwebwa,twiga walibwebwa,bandarini mita feki,IPTL capacity charges za hovyo, Richmond,watu kutolipa kodi,vyeti feki,wafanyakazi hewa, miradi mingi kubinafsishwa hovyo nk. Sasa kama kulikuwa na mambo ya namna hii na yanafanywa na watu waliyoko serikalini na watu wa awamu zilizopita ulitaka mh rais afanyaje kwa mfano?

Unasema eti hamna Uhuru wa kujieleza mie sijaelewa ulitaka wapewe Uhuru was kutukana watu?wanasiasa wa vyama vya upinzani kuandamanisha watu kila kikicha?

Swali ni je kwa sababu maovu ya awamu zilizopita yaliwekwa bayana,na unajua utaratibu wa CCM rais aliyeko madarakani anaongoza kwa miaka kumi ,ni watu waliyohudumu awamu hizo ndiyo waliyokutuma kwamba umuondoe JPM iliwasiendeelee kuabishwa kwa kutokufanya vizuri katika uongozi wao? Na je ni wafanyabiashara wasiyolipa kodi na kuhujumu uchumi wamekutuma? Ni wenye vyeti feti na watumishi hewa wamekutuma? Ni nchi za mbali wamekutuma?kinachokufanya usisubiri hadi 2025 ni nini?umetabiriwa na mizimu kwamba lazima uwe rais before 2025?
Mkuu hivi umekwisha kusahau ya kuwa ni CCM hii hii ndiyo inashikilia dola awamu kwa awamu. Na wote Membe na Magufuli walikuwepo ndani ya "cabinet" kama mawaziri waandamizi yote hayo yakitokea.

Sasa hapo hoja ipo wapi? Je! Ndiyo tuseme ya kwamba kwa uozo wote uliokuwa ukitokea ndani ya awamu zilizopita,Magufuli alikuwa ndiye malaika mtakatifu pekee miongoni mwa kundi la mashetani?

Ama ndiyo tuione ile "logic" ya kuwa kutokana na dhana ya "collective responsibility" wote pamoja walikuwa ktk fungu moja tu. Kupitia ktk hili tunapata mizania ya kuwaona wote wana nafasi ya kujitafakari binafsi kuhusu pale walipojikwaa na sasa kupata fursa ya kwenda "extra miles" na kutotaka kurudi ktk lile eneo lenye kuwakumbusha pale walipoangukia pamoja kama timu.
 
Mwana lazima arudi CCM, kama lowassa, sumaye walirudi yeye ni nani asirudi, tumpe mda tu baada ya uchaguzi mambo yatakaa sawa .

Lowassa alisema CCM sio mama wala baba angu ila chap alirudi membe ni nani asirudi, wakati ndugu na JK wetu mpendwa
 
Mkuu hivi umekwisha kusahau ya kuwa ni CCM hii hii ndiyo inashikilia dola awamu kwa awamu. Na wote Membe na Magufuli walikuwepo ndani ya "cabinet" kama mawaziri waandamizi yote hayo yakitokea.

Sasa hapo hoja ipo wapi? Je! Ndiyo tuseme ya kwamba kwa uozo wote uliokuwa ukitokea ndani ya awamu zilizopita,Magufuli alikuwa ndiye malaika mtakatifu pekee miongoni mwa kundi la mashetani?

Ama ndiyo tuione ile "logic" ya kuwa kutokana na dhana ya "collective responsibility" wote pamoja walikuwa ktk fungu moja tu. Kupitia ktk hili tunapata mizania ya kuwaona wote wana nafasi ya kujitafakari binafsi kuhusu pale walipojikwaa na sasa kupata fursa ya kwenda "extra miles" na kutotaka kurudi ktk lile eneo lenye kuwakumbusha pale walipoangukia pamoja kama timu.
Well said.
 
Membe, Ccm wote lao moja tu wanajuwa wanachokifanya ndio maana namshangaa sana Zitto kutaka kuingia kwenye mtego yaani TISS tena iliyochini ya ccm aje upinzani kwa usalama? siwezi kumuamini mpaka naenda kaburini!
Zitto chama gani?
 
Huu ni mwanzo tu wa pambano kati ya ccm mpya na ccm ya zamani. Jiulize ni kwanini Membe anajiamini mno kuliko hata aliyeko Madarakani yaani Magu??

Na pia jiulize kwanini hivi sasa ccm inahaha kupita miaka yote?? Kwanini ccm imewatuma Wazee kwenda kumuomba Membe asichukue form kupitia chama chochote cha siasa eti asubiri hadi 2025??
 
Serekali aliyokuwa akihudumu Membe, ndiyo hiyo hiyo aliyokuwa akihudumu magufuli katika sekta ya mabarabara, huku Membe akiwa Mambo ya nche, hivyo hamna jipya wote waarabu wa pemba
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom