Je, MCHARO kawa mtamu zaidi ya hii kitu? Sidhani!

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Hivi Mcharo wa airtel mkopo anaweza kuwa mtamu zaidi ya hii kitu japo sijui mcharo ni samaki au senene?
1418400273588.jpg
1418400332105.jpg
 
Bado unadaiwa Tsh 632.98 katika mkopo wako wa TIMIZA. Rejesha kiasi hicho haraka kuepuka taarifa zako binafsi kupelekwa kwenye taasisi za kisheria
 
aise masawe ni vipi chali yangu,eti yule mangi wa kibosho amekutumia ile kiti moto a.k.a KITU KITAAAAAMU maana nilimuagiza akuletee aise meku
 
Back
Top Bottom